Bashiru Ally ameongoza mazishi ya watoto walioungua moto huko Kyerwa Kagera kama nani?

Kwa CCN kila kitu ni siasa.... Misiba na maafa kwa CCM ni mtaji wa kisiasa.

Hapo malengo yake ni kugombea ubunge 2025.
Secretary General akagombee ubunge!?.. nisawa na Majaliwa au Pinda wakagombea udiwani.
 
Katibu mkuu wa Chama tawala unamlinganisha na DJ wa Ufipa?
 
Utakua mchawi ukiwa mzee
Mambo madogo kama hayo mishipa ya shingo inakutoka,bashiru ni KM wa chama tawala,chenye dola
Bashiru anatoka sehemu ya tukio,kwa waislam kwenye kuzika ni suala dogo sana alikwenda kuwakilisha chama chake,chadema kama kawaida yenu hamziki,waandishi wakasema kaongoza mazishi
 
safari hii hamtapumua , mkileta uzushi tunawaumbua hapohapo , wanafiki wakubwa nyie !
 
safari hamtapumua , mkileta uzushi tunawaumbua hapohapo , wanafiki wakubwa nyie !
Rabid dogs!hii mikwara tumeizoea,kila uchaguzi hamlikosi hili neno safari hii hatutakubali
Wewe kidampa tu,Lissu na Mbowe wqnajua hawapati kura wanaomba Mungu wapate kura za ruzuku tu
 
Rabid dogs!hii mikwara tumeizoea,kila uchaguzi hamlikosi hili neno safari hii hatutakubali
Wewe kidampa tu,Lissu na Mbowe wqnajua hawapati kura wanaomba Mungu wapate kura za ruzuku tu
kila siku siyo jumapili
 
We jamaa unaakili ndogo kingese... Listen to ur self before u opt to spoke. Ndo umeandika nn hapo sasa...
Siasa zisikufanye umkufuru Mungu
 
Na bado mtakoma tu. Bashiru ni Mtanzania nyinyi mliovamia hamna chenu, mtajiuza kama malaya lakini hakuna wa kuwashobokea.
 
Joined May 2020 .
Sio big deal sana kwamba im new here.... Bro kuna mambo makubwa yamsingi yakudiscus sio vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana asee...
Unajishushia heshima na kumkufuru Mungu wako tuu bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…