Bashiru imebaki stori tu

Ndio kuimba kupokezana, zamu yake ya kuimba ishapita jiulize wewe mleta mada lini itakuwa zamu yako japo ufikie hatua aliyofikia Bashiru
Hakuna anayetamani kuwa katili au mwizi
 
Hata wewe unayejaribu kufurahia anguko la mtu jifunze, utashangaa siku moja anakuongoza huyo, kama ambavyo siku moja utamtegemea mtoto wako ukiwa mzee
 
Hata wewe unayejaribu kufurahia anguko la mtu jifunze, utashangaa siku moja anakuongoza huyo, kama ambavyo siku moja utamtegemea mtoto wako ukiwa mzee
Labda akiwa jela siyo uraiani maana hana tena sifa
 
Mwizi kama mwizi na katili kama katili
Ha ha ha haaaa! Mbona unakiuka maelezo ya Mwenyekiti wenu wa chama wa kutotumia lugha za kuudhi au umeamia kwa Mwami Ruyagwa? Ha ha ha haaaa ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…