Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No problem, muda ni mwalimu mzuri.Alitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898