Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

We pana jua yeye yote dudu moja; fisi kwa fisi?
 
Namuona Raisi Membe,na waziri mkuu January makamba or vise versa
 
Aongee nini anaona aibu kwa kuwa wengi aliokuwa anawashughulikia wamekuwa mabosi wake!
Hivi ukimkamata mwizi aliye Iba na akapelekwa mahakamani, kule mahakamani mwizi akatoa rushwa akaachiwa huru - je! Yule aliye mkamata, ataona aibu au itakuaje? Ni kweli ataona aibu! Hata huyo mhalifu akiwa bosi wa huyu aliye mkamata? Feeling ya aliye Kamata huyo mhalifu ni aibu?!
Mimi si fikiri ni aibu maana huyu bado ni mhalifu na mwingine bado ndiye aliubaini huo uhalifu!
 
Hapa hakuna suala la wizi bali matumizi mabaya ya madaraka!
 
Wakati hayo yakitokea wewe na ukoo wako mnaendelea kuliwa na umasikini.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ccm ina nguvu sasa hivi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cyprian Majura Musiba, mwana harakati huru na mmiliki wa Tanzanite media anasemaje?
 
yaani CCM kama hawampendi Bashiru si wamuue / wamfute uraia aende burundi tuu! maana kila kukicha anaongezewa stress mwisho wa siku atajinyonga yule mzee.
Dunia rangi rangile, leo huyu kesho yule.

Hili ni somo kwamba ukipata cheo usimdharau wala kumtukana mtu. Chagua maneno yako kistaarabu ili baadae utakapoondoka kwenye madaraka kama alivyosema Mzee Mwinyi 'watu waandike historia yako ili isemwe kwa vizuri'
 
Ndiyo ajue kwamba katiba mpya ndiyo silaha pekee ya kupata demokrasia na maendeleo ya kweli.

Hapo lazima atii mamlaka tena kwa bidii zote bila why and how.
 
Siyo kwa maumivu yale aliyowapa wenzake
Hata wao nao wamewapa maumivu makao sana Watanzania. Bashiru aliwanyang'anya wanyang'anyi mali za CCM walixokuwa wamejimilikisha. Hivyo alikuwa sahihi
 
Dhidi ya wananchi au dhidi ya wenye chama?

Embu bainisha ni lipi hasa lililovuka mstari mwekundu kwa wananchi!?
Kwanza alifinya uhuru wa kutoa maoni na kuwabambikizia wanachama wenzake tuhuma ambazo hadi leo ameshindwa kuzithibitisha. Kwa kushirikiana na Magufuli waliwatia hofu na woga wa kukosoa madhambi yaliyokuwa yakifanyika ndani ya uongozi wa CCM!
 
Kwanza alifinya uhuru wa kutoa maoni na kuwabambikizia wanachama wenzake tuhuma ambazo hadi leo ameshindwa kuzithibitisha. Kwa kushirikiana na Magufuli waliwatia hofu na woga wa kukosoa madhambi yaliyokuwa yakifanyika ndani ya uongozi wa CCM!
Kila heri.
 
Hao ni watoto wa baba mmoja
 
Wakati makatibu wakuu wanaharibu chama wenyeviti wanakuwa na majukumu gani? Kwa hapa ni Kikwete na Magufuli!
Kazi yao kutafuta makatibu wakuu watakaoweza kukamata chama lakini kwa CCM haiwezekani kwani hakuna aliye msafi ndani ya kile chama.
 
Mbona wewe hujaachana na siasa bali unazidi kujikita zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…