Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pia ni binadamu na najua umeshawahi kukosea.Friends and Our Enemies,
Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba hatafanya ajizi,atakifanya kuwa ni chakula tuh.
Nimebahatika kuwa ni miongoni ambao nimepata kumshuhudia BASHIRU akiwa mwanaharakati enzi zile Yuko Chuo Kikuu huku akisimama Kawa hoja za weledi pamoja na sisi walalahoi, Kisha akiwa ni kiongozi mwenye Mamlaka makubwa ndani ya Chama na Serikali enzi ya Magufuli, na kipindi hiki ambacho hana mamlaka yoyote zaidi tuh ya huu ubunge wa kuteuliwa, Kwa hakika na pasipo na shaka yoyote naweza kusema ya kwamba BASHIRU halisi ni yule ambae alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Magufuli.
Kwa kifupi kabisa huyu ni mamba tuh mwenye njaa, haijalishi anasimama kueleza ukweli au kukemea uovu mtu huyu anakosa kabisa kabisa justification ya kusimama na kusema chochote labda kama ni kuomba radhi kwa matendo ambayo alishiriki ya kukandamiza demokrasia na uhuru wa habari kipindi hiko akiwa anaogelea kwenye mto wenye kila neema maishani mwake.
Anasimama Leo kutetea wakulima, na kuwaambia WAWE wakali ili waweze kusaidiwa sawa, yuko sahihi, alikuwa wapi kusimama na sisi kipindi korosho zetu zinachukuliwa na Serikali ambayo alikuwa anaisimamia huku wengine tukiambiwa hatulipwi pesa zetu hadi tuoneshe wapi yalipo mashamba ya hizo korosho?
Hivi anafahamu ni kwa kiasi gani amegharimu maisha na matumaini ya wakulima kipindi kile hadi kufikia kuwa watu omba omba had hivi Leo?
Kusimama Leo BASHIRU na kusema kwamba anachukizwa na kauli ya kusema kwamba Samia anaupiga mwingi ni dalili ya Mamba mwenye Njaa tuh, kipindi Magufuli yupo hai na watu tunalalamika vyuma vimekaza ni yeye na wenzake ndiyo walikuwa wanaimba hii nyimbo ya kwamba Magufuli anaupiga mwingi, kipi sasa kinachomshangaza?
BASHIRU alifikia hatua ya kusema kwamba wao ndiyo wenye Dola, kwa hiyo atatumia vyombo vya Dola kubakia kwenye Dola kwani siku akiacha kutumia vyombo vya Dola akatoka madarakani basi hawezi Tena kurudi kwenye Dola, na suala la Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi hataki kusikia.
Hakuna tofauti baina ya BASHIRU na Ndugai, ni wale wale Mamba waliotufikisha sehemu mbaya katika awamu Yao, kabla ya hawa kusimama na kukosoa wanatakiwa kwanza kusimama na kuomba radhi na wajutie matendo Yao, hadi tutapokubaliana kuwa tumewasamehe kisha wakae kando na waache watu wengine waendelee kufanya kazi na kutekeleza maono yao ya kiutawala na uongozi.
Kweli katikisa. Mpaka Mzee mzima The one and only one THE BIG SHOW , yaani Mzee wa Passive Resistance, a.k.a gesi ya Mtwara haitoki Hata kwa mrija wa peni, kaingia mzigoni. Hii si mchezo ! Sikutegemea watikisike hivi.
Bei za mazao zilishuka mfano pamba ilitangazwa bei Sh. 1650 kwa kilo lakini wakati wa mauzo wakulima wanaambiwa Sh. 500 kwa kilo na siyo taslim bali kwa mkopo. Wakati huo hakujua kuwa hao ni wakulima ndio wanaoumia.Friends and Our Enemies,
Kuna msemo wa wanazuoni unaosema kwamba chochote kinamchomfaa mamba Kwa kuliwa either kiwe kimetumbukia mtoni au kimekaa kihasara hasara kwenye kingo za mto mamba hatafanya ajizi,atakifanya kuwa ni chakula tuh.
Nimebahatika kuwa ni miongoni ambao nimepata kumshuhudia BASHIRU akiwa mwanaharakati enzi zile Yuko Chuo Kikuu huku akisimama Kawa hoja za weledi pamoja na sisi walalahoi, Kisha akiwa ni kiongozi mwenye Mamlaka makubwa ndani ya Chama na Serikali enzi ya Magufuli, na kipindi hiki ambacho hana mamlaka yoyote zaidi tuh ya huu ubunge wa kuteuliwa, Kwa hakika na pasipo na shaka yoyote naweza kusema ya kwamba BASHIRU halisi ni yule ambae alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Magufuli.
Kwa kifupi kabisa huyu ni mamba tuh mwenye njaa, haijalishi anasimama kueleza ukweli au kukemea uovu mtu huyu anakosa kabisa kabisa justification ya kusimama na kusema chochote labda kama ni kuomba radhi kwa matendo ambayo alishiriki ya kukandamiza demokrasia na uhuru wa habari kipindi hiko akiwa anaogelea kwenye mto wenye kila neema maishani mwake.
Anasimama Leo kutetea wakulima, na kuwaambia WAWE wakali ili waweze kusaidiwa sawa, yuko sahihi, alikuwa wapi kusimama na sisi kipindi korosho zetu zinachukuliwa na Serikali ambayo alikuwa anaisimamia huku wengine tukiambiwa hatulipwi pesa zetu hadi tuoneshe wapi yalipo mashamba ya hizo korosho?
Hivi anafahamu ni kwa kiasi gani amegharimu maisha na matumaini ya wakulima kipindi kile hadi kufikia kuwa watu omba omba had hivi Leo?
Kusimama Leo BASHIRU na kusema kwamba anachukizwa na kauli ya kusema kwamba Samia anaupiga mwingi ni dalili ya Mamba mwenye Njaa tuh, kipindi Magufuli yupo hai na watu tunalalamika vyuma vimekaza ni yeye na wenzake ndiyo walikuwa wanaimba hii nyimbo ya kwamba Magufuli anaupiga mwingi, kipi sasa kinachomshangaza?
BASHIRU alifikia hatua ya kusema kwamba wao ndiyo wenye Dola, kwa hiyo atatumia vyombo vya Dola kubakia kwenye Dola kwani siku akiacha kutumia vyombo vya Dola akatoka madarakani basi hawezi Tena kurudi kwenye Dola, na suala la Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi hataki kusikia.
Hakuna tofauti baina ya BASHIRU na Ndugai, ni wale wale Mamba waliotufikisha sehemu mbaya katika awamu Yao, kabla ya hawa kusimama na kukosoa wanatakiwa kwanza kusimama na kuomba radhi na wajutie matendo Yao, hadi tutapokubaliana kuwa tumewasamehe kisha wakae kando na waache watu wengine waendelee kufanya kazi na kutekeleza maono yao ya kiutawala na uongozi.
Bashiru ni mwislamu na wakati wa korosho alikaa kimya ili kuepusha shariFriends and Our Enemies,

Bashiru ni mwislamu na wakati wa korosho alikaa kimya ili kuepusha shari
Sasa Kitabu ni Kimoja.
Jibuni hoja plsBashiru ni shetani kama mashetani mengine ndani ya CCM wala hana nia njema na wananchi
Jibu weweJibuni hoja pls
Hapana chezea kobaziHadi wewe umetoka mafichoni? Kweli hii ya Dr Bashiru ndio one touch double manifestation!!!
Yaani watu wamekalia kumlani tu bashiru ni sababu hiyo aliwanyoosha kuludisha mali za chama wote walionyang'anywa ndo hawa wote wanaotoka kwenye mapango inakuwa kama amewamwagia mafuta kilamtu kivwake watu wamekalia uwizi tuHuna hoja wewe kimweri, Dk Bashiru alikuwa ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kazi za katibu zinajulikana,miongozo na utendaji wake ni ndani ya chama chake.
Bashiru hakuwa waziri wa kilimo wala hakuwa waziri wa viwanda na biashara,wala hakuwa waziri mkuu na hakuwa naibu Rais, wala halikuwa haingii kwenye baraza la mawaziri kwa cheo chake cha ukatibu mkuu wa chama.
Dkt. Bashiru ameteuliwa kuwa balozi na kuwa kama kiongozi ambae anaingia kwenye baraza la mawaziri kama katibu wa baraza, hata miezi miwili hakumaliza na kwa nafasi zake zote mbili halizowahi kushika hakuwa na mamlaka yeyote zaidi ya kushauli tu!
Yote uliyoandika hapa kumlaumu Dkt. Bashiru ni upupu tu,maamuzi ya mambo yote ya nchi yanatoka kwenye baraza la mawaziri,kama kuna watu wa kulaumiwa kwa makosa yaliyotokea kwenye utawala wa JPM ni aliekuwa naibu Rais ambae kwa sasa ndio Rais mrithi wa awamu ya tano,waziri mkuu,na mawaziri wote waliohudumu kwenye utawala wa JPM.
Bashiru anapaswa kupimwa kwa majukumu yake kama katibu wa chama,ambayo aliyatekeleza vyema,ikiwemo kurudisha mali zote za chama zilizokuwa zimeibiwa na wanaccm majambazi.
Kama Chanel ten, magic FM, majengo ya chama, shule za sekondari za wazazi,magari ya chama n.k
Pia Dkt. Bashiru alikifanya chama kijitegemee kimapato kupitia mali za chama bila kuomba matajiri na kukirudisha chama kwa wanachama wote.
Dk Bashiru alitimiza majukumu yake kwa weledi hayo mengine ni uongo na uzandiki wa majambazi ya ccm yenye uchungu baada ya kunyanganywa mali walizokuwa wamekiibia chama tawala.
Jibu hoja mbona mnazunguka?Reaping and harvesting belongs to the planter,
Bashiru anavuna alichokipanda yeye mwenyewe mkuu,sasa anamlalamikia nani??
Unasema anayo hoja sawa,nakubali! iweje hoja ailete yeye na ili hali yeye mwenyewe ndie alishiriki kwenye kuipanda hii mbegu??
kaipanda mbegu ya kusifia mamlaka ktk hali yoyote ile,wakati wa mavuno umefika badala ya kuvuna anatoka nje kupiga kelele kuwa anachukia hayo mazao yakiendelea kustawi anamaanisha nin??
ningekua mwanachama wa chamapinduzi Kama wewe ningejib kwahoja na sio kumdandia bashirJibu wewe
Bashiru ahamie tuu chadema awabebe na kina Pole×2 wakajaribu karata 2025.
Umeme tabu, maji tabu sana, miradi mikubwa imekwama, rushwa imeshamiri, masafari yanje yamezidi, vituo vyaafya havijengwi nk. nk.
Hoja ninyingi embu tupate mgombea mbadala Hangaya apate mshindani wakweli