THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #61
Yule ni opportunistic
Sana,
Enzi zao had ilikua kila siku wanalitia taifa gharama ya kurudia uchaguz eti wanaunga mkono juhudi za mwendazake za kuleta maendeleo,kwahiyo tunahama chama na kuhamia kwao,
Na wakihamia na kufanya uchaguz kupitia wao wenyewe wanashinda na kuendelea na maisha ya ubunge,
Jitu la hovyo sana Bashiru