Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

Sawa.

Hata wengine walipinga kuvaa barokoa na chanjo ila baadae wakawa mstari wa mbele kuzivaa na kuchanja....hamkuwashambulia ila mkachanganya akili za kuambiwa na zenu maisha yakaenda.

Sasa jibuni hoja yake....tuchague mbivu...bila hivyo tunawaona mnatapatapa tu.

Bashiru et al shikeni hapohapo au mtafute pakubonyeza kwingine...
 
Siasa lazima uwe mnafiki. Huwezi mshutumu mwanasiasa kwa kuwa mnafiki, huko ni kutokomaa kiakili.
 
Wewe pia ni binadamu na najua umeshawahi kukosea.
Sasa mbona hujaanza kuomba msamaha kwanza kabla ya kuandika makosa ya Bashiru kama unavyotaka Bashiru afanye?
Asante
 
Kweli katikisa. Mpaka Mzee mzima The one and only one THE BIG SHOW , yaani Mzee wa Passive Resistance, a.k.a gesi ya Mtwara haitoki Hata kwa mrija wa peni, kaingia mzigoni. Hii si mchezo ! Sikutegemea watikisike hivi.

Reaping and harvesting belongs to the planter,

Bashiru anavuna alichokipanda yeye mwenyewe mkuu,sasa anamlalamikia nani??

Unasema anayo hoja sawa,nakubali! iweje hoja ailete yeye na ili hali yeye mwenyewe ndie alishiriki kwenye kuipanda hii mbegu??

kaipanda mbegu ya kusifia mamlaka ktk hali yoyote ile,wakati wa mavuno umefika badala ya kuvuna anatoka nje kupiga kelele kuwa anachukia hayo mazao yakiendelea kustawi anamaanisha nin??
 
Bei za mazao zilishuka mfano pamba ilitangazwa bei Sh. 1650 kwa kilo lakini wakati wa mauzo wakulima wanaambiwa Sh. 500 kwa kilo na siyo taslim bali kwa mkopo. Wakati huo hakujua kuwa hao ni wakulima ndio wanaoumia.
 
Bashiru ni mwislamu na wakati wa korosho alikaa kimya ili kuepusha shari

Sasa Kitabu ni Kimoja.
 
Bashiru ni mwislamu na wakati wa korosho alikaa kimya ili kuepusha shari

Sasa Kitabu ni Kimoja.

Hapo sasa umejicontradict,
hiko kipindi ambacho ilikuwa vitabu tofaut ndiyo ilikuwa tamu zaid kama angesimama na kuongeaq,lakin angeweza vip na jiwe alimfunga mdomo kwa kumpa ukatibu mkuu??
 
Huyu ndiye mamba mfa maji
 
Yaani watu wamekalia kumlani tu bashiru ni sababu hiyo aliwanyoosha kuludisha mali za chama wote walionyang'anywa ndo hawa wote wanaotoka kwenye mapango inakuwa kama amewamwagia mafuta kilamtu kivwake watu wamekalia uwizi tu
 
Jibu hoja mbona mnazunguka?
 
Bashiru ahamie tuu chadema awabebe na kina Pole×2 wakajaribu karata 2025.
Umeme tabu, maji tabu sana, miradi mikubwa imekwama, rushwa imeshamiri, masafari yanje yamezidi, vituo vyaafya havijengwi nk. nk.
Hoja ninyingi embu tupate mgombea mbadala Hangaya apate mshindani wakweli
 
CHADEMA hawawezi kukubali hiyo michezo tena, wameshalizwa mara nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…