Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

😅😅 Chawaaa mnaumaaaa Dr Bashiru mwenye amesha puliza dawa... Mtakufa kimya kimya...
 
alikuwa wapi kusimama na sisi kipindi korosho zetu zinachukuliwa na Serikali ambayo alikuwa anaisimamia huku wengine tukiambiwa hatulipwi pesa zetu hadi tuoneshe wapi yalipo mashamba ya hizo korosho?
Huyu mpole mno,hivyo tumepata pa kusemea chochote
 
Wewe naona umepotea kabisa. Hivi Bashiru alikikosoa chama au viongpzi wa chama? Au kuna mahali alimkosoa Rais?

Alikuwa akiongea na kikundi cha wakulima. Aliwakosoa wakulima wanaofanya kazi ya kusifia badala ya kudai haki zao kama wakulima.

Hakumkosoa Samia kwa sababu Samia hajisifu, na hatujasikia kuwa aliomba au aliwalazimisha watu kumsifu. Ni wanafiki watafuta vyeo ndio wanaofanya hiyo kazi.
 
Bashiru ni mnafki sana uzuri ni kwamba technologia imerecord mabaya yote aliyokua anayoongea nikuhakikishie hakuna mtu mbaya kama bashiru jamaa ana Roho mbaya yule ndo alikua godfather wa magufuli

Kinachomfanya bashiru aonekane wa maana ni kwa sababu watanzania wengi ni wajinga na sifa ya mjinga huwa anasahau haraka
 
Tunakufahamu kuwa unatetea wale wa dini yako.

Si mgeni katika hili jukwaa.

Mpambanie ndugu katika imani.
 
Alishakatwa " mkia"!
 
Chawa mwingine
 
Hivi kwa akili yako unahisi mnaokesha mitandaoni kumdhihaki JPM ndo waTanzania sio!? kumbukeni the majority tupo tumekaa kimya tukiwacheki tu.
Wapi kwenye andiko hili kadhihakiwa, ninyi kama mlikula mema ya nchi enzi hizo, mjue pia Kuna watu waliumia kipindi hichohicho. Acha Kila mtu aseme aliyopitia kipindi hicho acha watu wasemwe walivyokuwa kipindi hicho, kabla na baada ya utawala Magufuli. Magufuli hakuwa malaika, kama alitenda mema wakusema wapo kama alitenda kwa uovu pia wapo walioumia usitake asifiwe tu.

Hata hivyo badala ya kukaa kimyaa na kucheki tumia uhuru wako humu kumsifia upendavyo.
 
Hapa hatuzungumzii chama bali tunazungumzia nchi. Bashiru kuwa katibu mkuu wa chama na pia kuwa katibu mkuu wa nchi ina maana huyu myu alikuwa na nguvu kubwa sana pamoja na nafasi ya kumshauri raisi, pia alikuwa na nafasi kubwa sana ya kusikilizwa na Rais.

Matokeo yake tuliyaona wote, aligeuka na kuwa mtu wa kwanza kupinga upatikanaji wa katiba ya wananchi, alikuwa mtu wa kwanza kupinga serikali ya Magufuli kukosolewa.

Waswahili wanasema ukitaka kujua tabia halisi ya mtu basi huyo mtu mpe Mamlaka au mali.
Uzuri Bashiru alishapewa vyote (Madaraka na mali) na tabia yake halisi ilionekana
 

Exactly,na Kuna wanaosema kwamba asishambuliwe BASHIRU bal ijibiwe hoja yake,sasa unajibu vip hoja ya mtu ambae ni huyo huyo alieshiriki kulitengeneza hilo tatizo,na hajawahi kuadmitt kuwa alikosea Wala kuomba radhi,haiwezekani
 

Sahihi kabisa,na alishawahi nukuliwa na kusema kwamba atatumia Dola Kwa namna yyte ili aweze kubakia madarakani,Kwani kama akitoka madarakani hataweza kuwa na Dola na hataweza Tena kurudi madarakani,na Katiba mpya kwake haikuwa na maana yoyote kwake
 
Kuna huyu na kuna mmoja somebody Warioba last time nimesikia alikuwa  TBC,kupitia hawa mabwana ikitokea mtu amekuuliza ni nini maana ya njaa ktk siasa kupoteza uwezo wa kielimu wa mtu au jinsi njaa na kujipendekeza kunavyoweza kumfanya msomi kuonekana kama mjinga unaweza kueleza kupitia hawa wawili.

Miaka ya nyuma ITV walikuwa na kipindi kinaitwa malumbano ya hoja ilikuwa wakialikwa hawa jamaa kutoa hoja zao hutamani kipindi kiishe maana wanaongea kisomi hata asiye na elimu ya kutosha kichwani alikuwa anawaelewa ila walipojipenyeza kwenye system wakageuka msiba kama huyu Bashiru toka amejiingiza kwenye siasa hata sauti yake sitakagi kuisikia maana anavyoongea na jinsi nilivyozoea kumsikia huwa napata hasira sana.
 
Inawezekana wewe ndo mjinga kupita wote
 
Ni mnafki bashiru, polepole ni watu ambao rangi Yao halisi kila mtu anaijui hakuna watu wabaya kama wale
 
Bashiru ni katili na Roho mbaya ukimpa mamlaka ana element zote za udikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…