Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Bila shaka unaikumbuka kauli hii, tunaomba uitunze, uiheshimu na kuitekeleza kama maneno yako yalivyotamka.
u
Hiyo ilikuwa ni kauli ya siasa ,hamna haja ya kukumbuka vitu vya kijinga kama kauli hizo kwa sasa,labda kuanzia 2026
 
Ni ujumbe tosha kwa wale walioichagua ccm kutokana na ahadi walizotoa wajue kwamba hawa watu ni waongo na pia ni wanafiki maana miongoni mwa sifa za mnafiki akiaminiwa haaminiki na akiahidi hatekelezi.
Noma kweli !
 
Baba wa familia anaweza kufanya mabadiliko anayotaka lakini watoto pia wanaweza kusema hili siyo na wakasikilizwa ikiwa watapaza sauti
 
Wahenga wana msemo kuwa usije kuahidi jambo fulani ukiwa umefurahi sana au usije kutoa uamuzi ukiwa umekasirika.

Hapa mtani wangu Dkt. Bashiru naona alijisahau na uteuzi wa leo sijui kama ataukubali kulingana na kauli yake hii.


 
Back
Top Bottom