Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Nakumbuka kauli ya Lissu mkiniibia kula taingiza watu road. nae atakuwa mstari wa mbele
 
Wewe unawaamini wanasiasa?

Kwa mfano Mnyika alivyosema hajaandika barua ya kuwatambulisha wabunge wateule akina Halima Mdee kwa Mahera, wewe ulimuamini?
Jikite kwenye mada , Katibu Mkuu wa Chadema hana na wala hajawahi kuwa na uwezo wa kuteua wabunge wa viti maalum , usiwe bwege kwa kudhani unaweza kudanganya mtu humu , Katiba ya chadema inapatikana hata mitandaoni , isome uelewe
 
Wahenga wana msemo kuwa usije kuahidi jambo fulani ukiwa umefurahi sana au usije kutoa uamuzi ukiwa umekasirika.

Hapa mtani wangu Dkt. Bashiru naona alijisahau na uteuzi wa leo sijui kama ataukubali kulingana na kauli yake hii.


View attachment 1712686
Ngoja tusubiri hiyo Kesho huenda akakanusha kuwa Video ni ya Kutengenezwa
 
Mwendelezo wa chama dola halisia kofia mbili.RC,DC watakuwa wakuu makatibu mikoa na wilaya ccm.
 
Kujipendekeza, kujiapisha, kupayuka, kujisemea, upofu, upogo na kutochelea kesho. Sijui ataramba matapishi yake au kufunika kombe. Ila Mungu anamuona, umma unamuona na sijui kwanini aliyemteua alisahau nadhili hii ya kichovu. Unajua limbukeni na maskini akipata. Hawa madaktari wa Bongo wa kuungaunga wana taabu sina mfano. Kama Bashiru angekuwa muungwana, kama alivyojiapiza angekataa ua kuomba kikombe hiki kimuepuke. Kwa vile ni mchumia tumbo na mnafiki, atanywea na kula mahanjumat. Hawa ndiyo aina ya viongozi tulio nao. Kazi kweli kweli. Shame on you Bashiru.
 
Back
Top Bottom