Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Raia ni wafukunyuku
Sema na kauli huwa zinabadilika
Ukimuuliza vipi tena kiongozi atakwambia
Binadamu hupanga na Mungu nae anapanga
 
hiyo kauli ipo kwenye dakika ya ngapi kwenye hiyo video
maana ina nusu saa
 
Wahenga wana msemo kuwa usije kuahidi jambo fulani ukiwa umefurahi sana au usije kutoa uamuzi ukiwa umekasirika.

Hapa mtani wangu Dkt. Bashiru naona alijisahau na uteuzi wa leo sijui kama ataukubali kulingana na kauli yake hii.

View attachment 1712686
Bangi tu hizi za ushamba wa cheo/mdaraka ambayo hkutegemea. Ulimbukeni wa cheo, unafiki uliopitiliza
 
Wahenga wana msemo kuwa usije kuahidi jambo fulani ukiwa umefurahi sana au usije kutoa uamuzi ukiwa umekasirika.

Hapa mtani wangu Dkt. Bashiru naona alijisahau na uteuzi wa leo sijui kama ataukubali kulingana na kauli yake hii.

View attachment 1712686
Tangu leo Mmawia nimekuogopa. watu mnajua kutunza kumbukumbu! Hongera sana
 
Unafiki ni moja ya sifa kubwa za maccm.
1614387957746.png
 
Back
Top Bottom