Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Duniani ogopa Mungu na Teknolojia, labda atakataa UteuziBila shaka unaikumbuka kauli hii, tunaomba uitunze, uiheshimu na kuitekeleza kama maneno yako yalivyotamka.
View attachment 1712608
Anaanzaje kwa mfano?Duniani ogopa Mungu na Teknolojia, labda atakataa Uteuzi
Hiyo ilikuwa ni kauli ya siasa ,hamna haja ya kukumbuka vitu vya kijinga kama kauli hizo kwa sasa,labda kuanzia 2026Bila shaka unaikumbuka kauli hii, tunaomba uitunze, uiheshimu na kuitekeleza kama maneno yako yalivyotamka.
u
Mungu ibariki JFBila shaka unaikumbuka kauli hii, tunaomba uitunze, uiheshimu na kuitekeleza kama maneno yako yalivyotamka.
View attachment 1712608
Noma kweli !Ni ujumbe tosha kwa wale walioichagua ccm kutokana na ahadi walizotoa wajue kwamba hawa watu ni waongo na pia ni wanafiki maana miongoni mwa sifa za mnafiki akiaminiwa haaminiki na akiahidi hatekelezi.
Tuko mawindoni, tuna windwaMungu ibariki JF
Hivi anajisikiaje ?Kikwete katuachia balaa kubwa