Kwa hiyo ulitaka aache kazi ili umsaidie kulisha familia yake wewe?
Kwa hiyo unataka asitowe maoni yake kisa tu hajatumiza ahadi ya kukaa kijiweni kama wewe
Tindo na wenzako?
Wewe una uhalali gani ambao yeye anaukosa wa kuikosoa hiyo serikali?
Wacheni Mambo ya kuishi kwa visasi kila uchao!
Nchi hii ni ya wote,na kila mmoja anayo haki ya kusema na kushauri.
Msijifanye kuwa na hatimiliki za mawazo yetu!
Kama mnazo Busara,zitumieni ili tuyaone Mafanikio yenu,sio kukaa mkiwananga watu,kisa mko pembeni kwa miaka mitano!