Bashiru v/s Sponsor: Kuna dalili mtu kutema au kutemeshwa mnofu soon

Bashiru v/s Sponsor: Kuna dalili mtu kutema au kutemeshwa mnofu soon

Lakini si alisema kweli kuhusu kutumia dola au aliongea uongo.
Kauli Ile ya kutumia Dola kushika DOLA, Ule ulikuwa ULEVI.

Mlevi asihukumiwe Kwa kauli za pombe Bali akiwa TIMAMU!!!!😃😃😃
 
Kwa hiyo ulitaka aache kazi ili umsaidie kulisha familia yake wewe?

Kwa hiyo unataka asitowe maoni yake kisa tu hajatumiza ahadi ya kukaa kijiweni kama wewe Tindo na wenzako?

Wewe una uhalali gani ambao yeye anaukosa wa kuikosoa hiyo serikali?

Wacheni Mambo ya kuishi kwa visasi kila uchao!

Nchi hii ni ya wote,na kila mmoja anayo haki ya kusema na kushauri.

Msijifanye kuwa na hatimiliki za mawazo yetu!

Kama mnazo Busara,zitumieni ili tuyaone Mafanikio yenu,sio kukaa mkiwananga watu,kisa mko pembeni kwa miaka mitano!
CDM wameamua kushikamana na kundi la waramba asali na Mgaso😃😃
 
Bashiru huyu Ambae Ni zero form six
ambaye kaingizwa udsm na kinyondo with unequalify Marks na baadae kuja KUSOMA degree yake ya Mchongo

BASHIRU Ni muhuni Sana

Hana Exposure kuhusu SIASA
Za nchi hii Tanzania.
Haya mnayajua leo!!? Mbona hamkumuambia kipindi cha utawala wake!!? Sipo kwenye kumtetea ila muovu ni wewe kwa kuficha uozo huu wakati unaufahamu na kusubiri mpaka aharibu
 
Back
Top Bottom