Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum na amekubali.[emoji23]Bashiru ni takataka, wakati amechaguliwa katibu Mkuu wa CCM alisema hicho ni cheo chake cha mwisho, lakini akachaguliwa katibu Mkuu kiongozi na akakubali. Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum na amekubali. Mtu wa aina hiyo hata akitemeshwa ulaji ni sawa na hana kitu atafanya.
Kumbe hawa ndio wenye kile chama!?Wamoja hao.
Hasira za kuzuiwa usajili wao.
Waache wanyofoane macho. Sisi tunaitaka Tanzania yetu salama
Je!Bashiru huyu Ambae Ni zero form six
ambaye kaingizwa udsm na kinyondo with unequalify Marks na baadae kuja KUSOMA degree yake ya Mchongo
BASHIRU Ni muhuni Sana
Hana Exposure kuhusu SIASA
Za nchi hii Tanzania.
Kwa hiyo ulitaka aache kazi ili umsaidie kulisha familia yake wewe?Bashiru ni takataka, wakati amechaguliwa katibu Mkuu wa CCM alisema hicho ni cheo chake cha mwisho, lakini akachaguliwa katibu Mkuu kiongozi na akakubali. Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum na amekubali. Mtu wa aina hiyo hata akitemeshwa ulaji ni sawa na hana kitu atafanya.
Nikama vile wakina mnyika na wenzake wa chadema walivyosema lowassa ni mwizi lakini mbowe akampa kijiti cha kuwania urais[emoji23][emoji23][emoji23]Bashiru ni takataka, wakati amechaguliwa katibu Mkuu wa CCM alisema hicho ni cheo chake cha mwisho, lakini akachaguliwa katibu Mkuu kiongozi na akakubali. Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum na amekubali. Mtu wa aina hiyo hata akitemeshwa ulaji ni sawa na hana kitu atafanya.
Kwa nini?Kwenye hili saga la Bashiru nimegundua chadema+ACT+walamba asali lao ni moja
Kwa hiyo ulitaka aache kazi ili umsaidie kulisha familia yake wewe?
Kwa hiyo unataka asitowe maoni yake kisa tu hajatumiza ahadi ya kukaa kijiweni kama wewe Tindo na wenzako?
Wewe una uhalali gani ambao yeye anaukosa wa kuikosoa hiyo serikali?
Wacheni Mambo ya kuishi kwa visasi kila uchao!
Nchi hii ni ya wote,na kila mmoja anayo haki ya kusema na kushauri.
Msijifanye kuwa na hatimiliki za mawazo yetu!
Kama mnazo Busara,zitumieni ili tuyaone Mafanikio yenu,sio kukaa mkiwananga watu,kisa mko pembeni kwa miaka mitano!
Huelewi na hutaelewa kwasababu hutaki kujishughulisha kuelewaBashiru hana lolote bali ngoa na nongwa na kutemeshwa ulaji. Ni changudoa wa kisiasa hata kama ana PhD.
Anayosema leo ni kinyume na aliyosema alipoteuliwa kwenye ulaji. Ni mnafiki na msaka tonge.
Nikama vile wakina mnyika na wenzake wa chadema walivyosema lowassa ni mwizi lakini mbowe akampa kijiti cha kuwania urais[emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu na hasa wivu wa kike ni mbaya sana aiseeBashiru huyu Ambae Ni zero form six
ambaye kaingizwa udsm na kinyondo with unequalify Marks na baadae kuja KUSOMA degree yake ya Mchongo
BASHIRU Ni muhuni Sana
Hana Exposure kuhusu SIASA
Za nchi hii Tanzania.
KAUNGA HUYO HADI AIBUTusaidie pia matokeo ya form six kiranja mkuu Hangaya.
Na hili jambo litaendelea kuligharimu taifa,Magufuri asingekubali huo upumbavu nakwambia leo bado angekuwepo lakini alimalizwa baada ya kumaliza ustaarabu wa Watanzania.Lakini si alisema kweli kuhusu kutumia dola au aliongea uongo.
Hahahah Yuko kwenye ile spitali iliyomtibu subfa wetu kwa billion 26 na ushee? Na kuwa mgonjwa ngali zaidi duniani?Bwana bwana, wakili wangu kalazwa India.
Mdomo koma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahaHahahah Yuko kwenye ile spitali iliyomtibu subfa wetu kwa billion 26 na ushee? Na kuwa mgonjwa ngali zaidi duniani?
Za kitimoto ndio zenyewe tatizo mzigo [emoji23]Hahahaha
Hospitali gharama ile balaa.
Labda subwoofer yetu iliteguka balls ikabidi zifanyiwe transplant maana nasikia za mbuzi nazo hazina tofauti na za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, drama za CCM zina mshindo mkuu.Watu wengi wanaamini hivyo.
Je tutajuaje kama siyo drama pendwa za CCM?