Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Yani ni system ndani ya system 😂Msimsingizie Magufuli, Bashite ni toto la mzee wa Msoga, alilizaa kwa malengo kisha akalitupa kwa JPM lionekane kama toto lake, lilipovuruga jiwe alishtuka akiwa kachelewa ila alilibwaga kwenye uchaguzi wa 2020, sasa mzee wa Msoga alichukua tena toto lake kukamilisha misheni yake.
Asomaye na fahamu.