PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.

“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.

Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Hapa sijaelewa, naomba nieleweshwe. Yaani, mtu anatoa vitisho, na hakamatwi, hadi waziri aseme akamatwe, ndipo akamatwe?
 
Tunachotaka huyo mtuhimiwa ahojiwe na polisi pamoja na baadhi ya wahusika ikiwezekana hata padre kitima awepo ili ukweli ujulikane tusipigwe danadana apa! je aliyemtuma ni nani! isije ikawa wamemshikilia mtu Baki tu ili mambo mengine nyuma ya pazia yafichwe!? hatuna Imani na uchunguzi wa jeshi la polisi! wito kwa fr . Kitima akimjua huyo mtu aliyehusika atangaze msamaha hadharani! Litakuwa ni tukio la kipekee sana nchini na duniani! na kuonesha hekima kiasi gan aliyokuwa nayo katika utume wake?
 
That was bad luck and coincidence, ndicho kilichotokea, fred Cosseny ni mpiga domo na mahiri mwenye mapenzi na mazito na chama cha mapinduzi, kiasi ni rahisi sana kwa upendo wake wa chama, kuongea lolote la chuki dhidi ya yeyote anayekitendea sivyo chama cha Mapinduzi. Coincidence!, same to yupo nabii anayetuwangia sisi Wana CCM. Ameoteshwa, ameoteshwa, which total non sense!
Babu atatoka salama.

GM
 
Aeleze, katika matukio yote ya utekaji na watu kupotea polisi wameweza kuchunguza na kutoa majibu matukio ya aina hiyo mangapi

Huyu jamaa mwonekano wake ni kama mtu mwenye matatizo yanayofanana na athari ya utaahira.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.

“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.

Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Haina mashiko Kwani Kwa kile alicho andika, sio ushahidi kamilifu wa uhusika kwake kwenye tukio, wanatumia hii kuwaghilibu watu.
 
Kama angekuwa na akili timamu angeanza kwanza na wale askari wake walioteka watu na kuwatelekeza maeneo ya ununio na wengineo waliotekwa na hawajulikani walipo ama waliouawa.
Sijui akili zao hawa jamaa huwa wanaziacha wapi!.
 
That was bad luck and coincidence, ndicho kilichotokea, fred Cosseny ni mpiga domo na mahiri mwenye mapenzi na mazito na chama cha mapinduzi, kiasi ni rahisi sana kwa upendo wake wa chama, kuongea lolote la chuki dhidi ya yeyote anayekitendea sivyo chama cha Mapinduzi. Coincidence!, same to yupo nabii anayetuwangia sisi Wana CCM. Ameoteshwa, ameoteshwa, which total non sense!
sasa mdomo wake utamponza
 
huyo ana uhakika na alichokuwa anakisema wala usimtetee
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.

“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.

Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Wanatufanya kama watoto wadogo,haya ngoja tuone
 
Mbona wanaoshikwa wote na J4 hakuna lolote linaloendelea? Au ni wenzao?
 
Kwamba, huyu mtu alikuwa wa kutafuta? Si mko nae ofisini? Acheni kuyu hadaa.
 
Back
Top Bottom