Hapa sijaelewa, naomba nieleweshwe. Yaani, mtu anatoa vitisho, na hakamatwi, hadi waziri aseme akamatwe, ndipo akamatwe?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.
“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.
Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Babu atatoka salama.That was bad luck and coincidence, ndicho kilichotokea, fred Cosseny ni mpiga domo na mahiri mwenye mapenzi na mazito na chama cha mapinduzi, kiasi ni rahisi sana kwa upendo wake wa chama, kuongea lolote la chuki dhidi ya yeyote anayekitendea sivyo chama cha Mapinduzi. Coincidence!, same to yupo nabii anayetuwangia sisi Wana CCM. Ameoteshwa, ameoteshwa, which total non sense!
Haina mashiko Kwani Kwa kile alicho andika, sio ushahidi kamilifu wa uhusika kwake kwenye tukio, wanatumia hii kuwaghilibu watu.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.
“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.
Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
sasa mdomo wake utamponzaThat was bad luck and coincidence, ndicho kilichotokea, fred Cosseny ni mpiga domo na mahiri mwenye mapenzi na mazito na chama cha mapinduzi, kiasi ni rahisi sana kwa upendo wake wa chama, kuongea lolote la chuki dhidi ya yeyote anayekitendea sivyo chama cha Mapinduzi. Coincidence!, same to yupo nabii anayetuwangia sisi Wana CCM. Ameoteshwa, ameoteshwa, which total non sense!
huyo ana uhakika na alichokuwa anakisema wala usimteteeThat was bad luck and coincidence, ndicho kilichotokea, fred Cosseny ni mpiga domo na mahiri mwenye mapenzi na mazito na chama cha mapinduzi, kiasi ni rahisi sana kwa upendo wake wa chama, kuongea lolote la chuki dhidi ya yeyote anayekitendea sivyo chama cha Mapinduzi. Coincidence!, same to yupo nabii anayetuwangia sisi Wana CCM. Ameoteshwa, ameoteshwa, which total non sense!
Coincidence!, ok, wacha wamhoji and truth shall be reveled soon.huyo ana uhakika na alichokuwa anakisema wala usimtetee
Wanatufanya kama watoto wadogo,haya ngoja tuoneWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.
“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.
Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Mbona wanaoshikwa wote na J4 hakuna lolote linaloendelea? Au ni wenzao?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Bashungwa alitoa pongezi hizo leo, Mei 5, 2025, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, kuhusu hatua zinazochukuliwa na Jeshi hilo kufuatia matukio mbalimbali ya kihalifu.
“Nimepata taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa aliyetoa vitisho kabla ya tukio la kushambiliwa la Padri Kitima. Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa jitihada mbalimbali zinazoendelea za ufutiliaji wa matukio mbalimbali yaliyotokea” amesema Waziri Bashungwa.
Aidha, Waziri Bashungwa amelielekeza Jeshi la Polisi kuendelea na msako dhidi ya washukiwa wa matukio yote ya kihalifu na kuhakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria kwa haraka.
Duh 🙄 !Maanake hapo Show hapo imeshaisha..
Le mutuz alisemaga CASE CLOSED.
Kwamba, huyu mtu alikuwa wa kutafuta? Si mko nae ofisini? Acheni kuyu hadaa.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.