Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

tanzania bwana. Huwa tunajenga vitu kwa matumizi fulani kisha tunageuza matumizi baadaye. Sasa kama barabara hizo zitumike kwa magari hata binafsi, kwanini mnaendelea kutumia mabilioni ya fedha kuzijenga mfano sasa hii ya mwenge bunju, si mjenge tu ya kawaida.
Huu mradi unazidi kuharibiwa na wanasiasa.
 
Upo Sahihi kabisaa mkuu hili wazo hata Mimi nimejiuliza Sana ni Bora tujenge barabara SITA ili kila MTU apite
 
Nayeye anauliza
 
Wazi baya hili, waacha wandelee kutumia wakubwa, ambulance na vyombo vya usalama. Ukiruhusi kizazi hiki Cha Wana Dar es salaam wasio na akili, hiyo maana ya BRT itakufa kibudu.

Kwa Sasa tu watu bado wanaabuse ukiruhusu itakuwa shida Kubwa.
 
Huyu ana maana njia ambazo mwendokasi haijaanza kazi kama Kilwa road ambapo tunatumia hizo njia za mwendokasi ingawa kuna askari njaa huwa wanasumbua watu mara nyingine.
Hapo ni sahihi kabisa.. Mimi nilichukulia ile ya Morogoro road ambayo iko busy mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…