Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Wahaya mwalimu aliwakataa......
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
INAWEZEKANA the State wamemuandaa Jamaa!

Ana ukimya wa Mwinyi junior!ndio maana anahamishwa wizara Sana !

Lakini mahitaji ya nyakati,Zama,mahitaji,Mbingu,Ardhi na upepo vinaweza kumuibua MWINGINE KABISA!

TUSUBIRI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…