Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Ukiwa shetani lazma upate maono ya kuzimu
 
Hakuna tatizo bibi anakusoma humu kesho atamtumbua akagombee u katibu kata kwao huko.
Ndio maana Hapi kaamua kulima pilipili
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Watu wa ukanda huo hawatakuja tena kupata fursa hiyo kwa kuwa Magufuli amewaribia. Haya majitu ya Biharamulo, Chato, Ngara na Karagwe yana DNA za Burundi na Rwanda. Hatutataki tena
 
Swali sio alikua nani ? Bali alifanya nini ? Mkuu kwa ukurupukaji huo wa kujibu maswali hiynd civics haukupata mswaki kweli ?
Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?
 
Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana.

Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe.
SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?
Achana na makukumu ya makawa wa raisi bla bla, yeye Maushungi jambo gani kafanya lenye kumtambulisha kwa umma achana na kutaja nyadhifa.
 
Back
Top Bottom