Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,203
Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali

Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi

Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni

Your browser is not able to display this video.
 
Mabasi ya kampuni hiyo sio ya kupanda ni makafara.
 

Sauli mwenyewe ni mtu wa mbeya chunya yule jamaa muda mwingi anatumia bodaboda
 
Kafara kama zote tu, πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…

Asee utajiri unatafutwa kwa shida na taabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…