mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Abiria ndani ya bus huwa wanachukua hatua ganiMadereva wa Newforce wanaendesha magari bila kuzingatia usalama wa abiria na mali wana overtake za kipuuzi sana juzi nilipanda DZU ya Tunduma yaani dreva anaendesha gari kwa fujo pasipo kuzingatia sheria
Ova