Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

Hivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka wajirekebishe?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo,kutakuwa na shida mahali si bure...
Nashangaa sana pamoja na trend za ajali kwa kampuni eti aboria bado wanakimbilia huko tu
 
Mpaka new Force iue mbunge, waziri, RPC au RTO ndio itachukuliwa hatua. Otherwise rushwa itaendelea kuua wasio na hatia.
 
Eti"Leo hatimaye wamepata ajali nyingine"
kana kwamba hii ajali ilikuwa inasubiriwa kwa hamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ondoa Tochi ,Traffick wasisumbue madereva ,Dunia inaenda kisasa hizo gari nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…