hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Daah kobazi sijui tutaficha wapi sura zetu.
Daah kobazi sijui tutaficha wapi sura zetu.
Unafikiri ni rahisi hivyo?! Kiminyo watakachopata watasema kila kitu kwa ufasaha.Hao wote hawana makosa dereva kazi yake nikuendesha gari anaitwa pindi gari imeshajaa kondacta hana kosa hana jukumu la kukagua mizigo ya abiria furushi limefungwa kama robota la mtumba unakaguaje zaid yakuweka kwenye buti tu
Mi mwenyewe MzeeLocation?
Enzi zetu ilikua sh 50 tu unavuta misokoto mi 4Bangi 100 msokoto?
Unazo?Mi mwenyewe Mzee
Duhh sahizi bukuEnzi zetu ilikua sh 50 tu unavuta misokoto mi 4
Imetoka Kenya Kufika Tegeta Sasa Ndiyo KimenukaLinaenda KE au ndio limefika Dar?
Sina mwenzangu hapo mdogo’etu!Pole sana mrembo salma sanga. Dada Seran na ndugu yangu ShesRise_1 kuweni makini, mnaona mwezenu yaliyomkuta?
kama huna hela njoo huku tujumuike, mdogo'ako nipo kwenye mkaa na foleni ya mahindi.Sina mwenzangu hapo mdogo’etu!
Wangeshusha MbeziL
Imetoka Kenya Kufika Tegeta Sasa Ndiyo Kimenuka
Kamba Hukatikia Pabaya Sana
Usikute huo mzigo wote ni wa Muliro au Ridhiwani KikweteHeee kumekucha! Wameanza kuchomeana mingo zao
Kazi ipo mbona, acha nikae siti ya mbele kabisa!
===============
Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya
Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni kilogramu 101.2 za mirungi zilizokuwa zimefichwa kwa ustadi mkubwa ili kukwepa kugundulika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema basi hilo lilikuwa likifanya safari kati ya Mombasa, Kenya na Dar es Salaam.
Ameeleza kuwa dawa hizo zilifichwa katika maeneo
mbalimbali ya basi, ikiwemo ndani ya mfumo wa hewa wa kiyoyozi (AC).
Soma Pia: Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa Mahakamani wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi
Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, watu watano wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo. Waliotajwa ni dereva Ramadhan Mohamed (52), kondakta Salma Sanga (26), pamoja na Twahilu Athuman (38), Mohamedy Mikidadi (37) na Ibrahim Mohamed (39).
MkuuWangeshusha Mbezi
Nimeridhika na maisha ya ukulima mwaya!kama huna hela njoo huku tujumuike, mdogo'ako nipo kwenye mkaa na foleni ya mahindi.
Kwani baba mchungaji ulipotelea wapi? Hivi mirungi ina hasara gani kwa taifa?pamoja uthibiti ni mkubwa wa madawa ya kulevya ila watu hawaachi ,
Jambo limeunguzwq,Nairobi masnitch sanaMilungi ndio nini hizo?
Pole Kwa conductor, 26yrs bado mdogo sana kwenye safari ya kuishi, kua Mke na Mama
Ni coincidence majina yote ni watu wa Religion moja?
“Yalifichwa kwa ustadi mkubwa” imekuaje yagundulike 20km kutoka final destination?