Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Nimesoma Kibo nikajua Kimara. Shukrani.Tegeta unakuwa bado hujafika mbezi
Nimesoma Kibo nikajua Kimara. Shukrani.Tegeta unakuwa bado hujafika mbezi
Swadakta,wenyewe wanakuambia full handassHee! Wamekuwa mbusi?
Huyo ndugu kwenye imani ya kiccm hawawezi taafisha busHapo kuna msela kaamua tu kuunguza picha,uhalisia hii nchi hakuna ukaguzi wa namna hiyo barabarani.
Kinachokamatwa ni tone tu ya vile vinafika sokoni.
Ba kwa sheria za nchi hii hilo basi nalo linataifishwa au namna gani?