Basi la Abood lakamatwa na kilo 101.2 za mirungi, eneo la Tegeta Kibo

Hao wote hawana makosa dereva kazi yake nikuendesha gari anaitwa pindi gari imeshajaa kondacta hana kosa hana jukumu la kukagua mizigo ya abiria furushi limefungwa kama robota la mtumba unakaguaje zaid yakuweka kwenye buti tu
Unafikiri ni rahisi hivyo?! Kiminyo watakachopata watasema kila kitu kwa ufasaha.
 
Unafikiri hawa Jamaa wa madawa hawajui basi, DCEA wakiamua kufuatilia huchomoki hata kidogo, Wana mtandao Mpana Sana na wala huwezi kudhania kuwa kuna mahali wanafika, Biashara ya mirungi inayotoka Mombasa kupitia Tanga inajulikana wazi, kule Tanga Kila siku mirungi inavushwa na vijana wa pikipiki na wengine huivusha kupitia kwenye mikoko au porini, Tanga mirungi inatafunwa usiku kama mbuzi, unakuta pikipiki kama nne au tano zimepakia shehena ya mirungi zinapta Kwa spidi kubwa kiasi ambacho wakidondoka hawaponi, everyday mirungi inapita....DCEA wanajua Kila kitu na wakiamua kufuatilia watakamata Kila siku, Kati ya vitu rahisi kukamata ni mirungi sema mamlaka zinalegeza kidogo...
 
pamoja uthibiti ni mkubwa wa madawa ya kulevya ila watu hawaachi ,
 
Usikute huo mzigo wote ni wa Muliro au Ridhiwani Kikwete
 
Jambo limeunguzwq,Nairobi masnitch sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…