Most profitable business mzee Qatar ukitoboa nao 1kg ya Heroine ni $82,000 = 217,000,000 USA 318M per 1kg biashara gani utaifanya 1 kg iwe 217,000,000? Baada ya Dhahabu naona kinachofuata ni Madawa sehemu inavyokua ngumu kuingiza na sheria zikiwa zinabana sana ndo bei pia inakua kubwa Qatar wananyongapamoja uthibiti ni mkubwa wa madawa ya kulevya ila watu hawaachi ,
Ajali kazini hakuna pesa rahisiPole sana mrembo salma sanga. Dada Seran na ndugu yangu ShesRise_1 kuweni makini, mnaona mwezenu yaliyomkuta?
mkuu kuna wilaya Dar watu wanasema zinapatikana vizuri tu, yani kumbe bado watu wanazipata fresh tu 😅Most profitable business mzee Qatar ukitoboa nao 1kg ni $82,000 = 217,000,000 USA 318M per 1kg biashara gani utaifanya 1 kg iwe 217,000,000? Baada ya Dhahabu naona kinachofuata ni Madawa sehemu inavyokua ngumu kuingiza na sheria zikiwa zinabana sana ndo bei pia inakua kubwa Qatar wananyonga
nipo kondoo wangu likizo imeisha nimekumiss,hasara ipo baada ya kutumia unafanya uharifu pasipo hofu 😁😁Kwani baba mchungaji ulipotelea wapi? Hivi mirungi ina hasara gani kwa taifa?
unaulizia ukajimalize kabisa😅😅Location?
🤣🤣🤣 ipo namna wamechomewa,wamejuaje ipo hadi kwenye AC?L
Imetoka Kenya Kufika Tegeta Sasa Ndiyo Kimenuka
Kamba Hukatikia Pabaya Sana
vyote ila kimoja kimezidiHivi mirungi na sigara kipi kinamadhara?
Rocket Science 🚀🤣🤣🤣 ipo namna wamechomewa,wamejuaje ipo hadi kwenye AC?
Kumbe ukiwa kule unakuwa mnyongee eeh😅nipo kondoo wangu likizo imeisha nimekumiss,hasara ipo baada ya kutumia unafanya uharifu pasipo hofu 😁😁
Nijue tu mtumishiunaulizia ukajimalize kabisa😅😅
Wamechomeana hao.Heee kumekucha! Wameanza kuchomeana mingo zao
Kazi ipo mbona, acha nikae siti ya mbele kabisa!
===============
Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya
Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni kilogramu 101.2 za mirungi zilizokuwa zimefichwa kwa ustadi mkubwa ili kukwepa kugundulika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema basi hilo lilikuwa likifanya safari kati ya Mombasa, Kenya na Dar es Salaam.
Ameeleza kuwa dawa hizo zilifichwa katika maeneo
mbalimbali ya basi, ikiwemo ndani ya mfumo wa hewa wa kiyoyozi (AC).
Soma Pia: Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa Mahakamani wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi
Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, watu watano wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo. Waliotajwa ni dereva Ramadhan Mohamed (52), kondakta Salma Sanga (26), pamoja na Twahilu Athuman (38), Mohamedy Mikidadi (37) na Ibrahim Mohamed (39).
sawa kabisa ila usijaribu jamani nitapotesa mtu muhimu sana ukianza kutumia hizo utakua chizi unajuaNijue tu mtumishi
Basi nimeghairi!sawa kabisa ila usijaribu jamani nitapotesa mtu muhimu sana ukianza kutumia hizo utakua chizi unajua
Na basi litataifishwa?Je hizo kgs za milungi zitateketezwa au huwa zinapelekwa wapi? Naomba mamlaka ziwe zinateketeza hizo dawa hadharani.
Pikipiki imekamatwa na bangi serikali imetaifisha, na mwenye pikipiki alimpa bodaboda abebe abiria ye kabeba bangi.Haliwezi kutaifishwa mkuu, Unless huo ni mzigo wa mwenye basi.
Lkn kwa level za abood kufanya biashara ya Mirungi, Sidhani
Hee! Wamekuwa mbusi?Wala mirungi khat miraa jaad 😄 huwa hawalali ni watu wa kukesha tu wanamungunya mpaka alfajiri
Ni kweli hawa wangeachwa tu wasagee mpaka wenyewe waseme basi
Ova
Tegeta unakuwa bado hujafika mbeziWangeshusha Mbezi
Mwenye gari ataenda kulitoa basi lake msala huo anawaachia hao wafanyakazi wakeNa basi litataifishwa?