Kuna jamaa analima bangi mwaka wa 15 sasa na polis wanakuja wakimshika anawatia kibunda wanatulia na hama mambo ya ushirikiano na watu yeye akilima anabeba mwenyewe wateja anatafuta mwenyewe.....nb bangi ni nzur sana bila bang kwa nilivyoteshwa kimapenzi nisingeweo duniani
Swadakta,wenyewe wanakuambia full handass
Kuna kigogo mmja mzito
Wao wame kodi nyumba maalum maeneo fulani
Watu wanakwenda kusaga tu hapo,hapo ni wakened watupu 😄
Barabara ya Kaskazini imeharibika sana na hiyo biashara,Polisi wanajitahidi sana ukienda pale polisi korogwe utaina gari nyingi za thamani zimetaifishwa kwa kosa la kubeba milungi