Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.

Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.

Kazi Inaendelea!
 
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
 
Hii sasa ndiyo timu utopolo, mwenyekiti katoa baraka zake?? Au ndiyo madhara ya smart gin??
Tunasubiria rufaa waliyoikata je, imesikilizwa?? Je, na majibu yametolewa au vijana wameamua kutumika vibaya??
Kuna baadhi ya mambo upinzani, wanakosea ama kwa makusudi ama bahati mbaya.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sitaki nataka ya BAWACHA.... Walisuza kwanza,,,,wenzao wakapakua na wanakula kwenda mbele.... Wajipange kwa yajayo... Team ya BAWACHA iliyoko bungeni, H.Mdee et al walikuwa majembe hasa.... Wanastahili kuwa mjengoni ..
 
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Katiba iheshimiwe acha upumba.vu. Hii nchi sio ya mtu mmoja. MAAMUZI YA WALIO WENGI YAHESHIMIWE.
 
Bawacha ni taasisi yenye uelewa mkumbwa huwezi kuilinganisha na ile ya wapaka mikorogo wa UWT.
Ila UWT, jamani, sijui chini ya Mwalm Queen labda imebadilika, wale wanawake ni hatari kwa ustawi wa jamii. 😆 😆

Everyday is Saturday................................😎
 
Wao kazi yao ni Umbea na kusutana tu
 
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Haya mawazo ya kijinga na kishamba yatatawala vichwa vyenu mpaka lini?
EzuZUZ_XEAALDWK-1.jpg
 
Jamani, hivi mwenyekiti wa chadema yuko wapi? Mbona chama kinageuka kuwa kama dimbwi la kambale, kila mmoja na ndevu?
 
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Koment ya kipumbavu hii.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.

Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.

Kazi Inaendelea!
Najaribu kufikiri, definitely hawataruhusiwa kuingia viwanja vya bunge. Sasa mission Yao itakuwa accomplished vipi? Nawaunga mkono Sana, Ila practicality ya mission yao to yield the expected results or to have the message delivered ni questionable?
Best of the luck!
 
Back
Top Bottom