Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Mi nilidhani wanatembea kuandamana kwa miguu
 
Najaribu kufikiri, definitely hawataruhusiwa kuingia viwanja vya bunge. Sasa mission Yao itakuwa accomplished vipi? Nawaunga mkono Sana, Ila practicality ya mission yao to yield the expected results or to have the message delivered ni questionable?
Best of the luck!

Hata kama hawataingia lakini Dunia itakuwa sensitized na pia itakuwa ni booster starter kwa madai ya demokrasia
 
Hii Nchi inatakiwa ifuate Katiba na Sheria BAWACHA tingeni Dodoma tuone huyo Polisi anayefanana na Mzimu atawafanya nini

1326.gif
 
Wangeliwaonea huruma wengi wamemaliza ubunge hawana cha kufanya kuanza na moja nayo changamoto, ukute walikopa wakanunua magari wengine wanasomesha International bora watoto wao wamalize la saba
 
Aisee.. Ngoja nimshtue imhotep, salary slip, Bak, na bawacha wengineo wawapokee hapo dodoma.
Unafikiri utatukweza kutuita sisi Wanawake? Raisi wako kwa sasa ni Bawacha.
 
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.

Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.

Kazi Inaendelea!
Naona wazee wa mfumo dume pale chadema wamerudi nyuma na kuwatanguliza bawacha baada ya kushutumiwa kwamba wamejikita kuwaandama wake za watu.......haya ngoje tushuhudie mtifuano wa akina mama.
 
Ajira za Ualimu zimetoka jamani au Bawacha hamkwenda shule ndio maana mmekalia SIASA tu.
 
Hii sasa ndiyo timu utopolo, mwenyekiti katoa baraka zake?? Au ndiyo madhara ya smart gin??
Tunasubiria rufaa waliyoikata je, imesikilizwa?? Je, na majibu yametolewa au vijana wameamua kutumika vibaya??
Kuna baadhi ya mambo upinzani, wanakosea ama kwa makusudi ama bahati mbaya.

Everyday is Saturday............................... 😎
Ulisikia wapi ukihukumiwa na ukakata rufaa unatolewa kifungoni kabla ya rufaa kusikiliza?
 
CHADEMA mkishindwa sasa hivi kwa huyu mvaa ushungi basis kazi mnayo pindi akiingia yule wa kuwabatizeni kwa ubatizo wa moto
 
Bawacha watapigwa mpaka wachakae!wanawake wenzangu kaeni kwa kutulia...!haki haipo duniani.
 
Back
Top Bottom