Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao kinamama wanapigania ugali,wanajua wakina,mdee wakitolewa bungeni hizo nafasi watazichukua wao,ogopa sana wanasiasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli mimi nitaenda kuwaunga mkono na kumbebea Bango Ndugai asiendelee kuikanyaga Katiba ya Jamhuri.Aisee.. Ngoja nimshtue imhotep, salary slip, Bak, na bawacha wengineo wawapokee hapo dodoma.
Fafanua bwashee!CCM lazima wana mkono hapa. Wameona watumie akili nyingi ili wasipate aibu
Ulicho andika ni upumbavu uliokuwepo enzi za Magufuli, na sio sifa kujinasibu nao kwa sasa.Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Mtaji wa wanasiasa ni wanaHaya mawazo ya kijinga na kishamba yatatawala vichwa vyenu mpaka lini?View attachment 1778876
Mtaji wa wanasiasa wa upinzani Tz ni kuwatumia wanachama mbumbu kama ww ambao huwatumia kama daraja kufikia malengo yao. Tuliona wanasiasa wa kweli kama kina Mandela ambao walijitoa wao na familia zao kama vile Winnie Mandela akiwa bega kwa bega na mumewe wakipigania haki za wenzao. Lakini Tz viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakiwaswaga wanachama wao kama mifugo inayokosa mchungaji waingie barabaran kupambana na kile wanachokiita uonevu, huku viongozi na familia zao wakiwa majumban kwao ndan ya viyoyozi wakiiangalia misukule yao inavyohenyeshwa na vyombo vya dola. Hii imesababisha vijana wengi waanze kujitambua na kugomea maandamano au vurugu zinazoandaliwa na viongozi hao, kama walivyomgomea Lisu. Inasemekana vijana wengi walihitaji kumuona kwanza Lisu na familia yake wakiwa mstari wa mbele ili kuwaongoza, lkn walipoona Lisu yupo nyumban kwake na familia yake akisubiri kuona ktk tv kinachoendelea na wao pia wakagomea kujitokeza barabarani.Haya mawazo ya kijinga na kishamba yatatawala vichwa vyenu mpaka lini?View attachment 1778876
Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.
Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.
Kazi Inaendelea!
Mtaji wa wanasiasa ni wana
Mtaji wa wanasiasa wa upinzani Tz ni wanachama mbumbu kama ww ambao huwatumia kama daraja kufikia malengo yao. Tuliona wanasiasa wa kweli kama kina Mandela ambao walijitoa wao na familia zao kama vile Winnie Mandela akiwa bega kwa bega na mumewe wakipigania haki za wenzao. Lakini Tz viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakiwaswaga wanachama wao kama mifugo inayokosa mchungaji waingie barabaran kupambana na kile wanachokiita uonevu, huku viongozi na familia zao wakiwa majumban kwao ndan ya viyoyozi wakiiangalia misukule yao inavyohenyeshwa na vyombo vya dola. Hii imesababisha vijana wengi waanze kujitambua na kugomea maandamano au vurugu zinazoandaliwa na viongozi hao, kama walivyomgomea Lisu. Inasemekana vijana wengi walihitaji kumuona kwanza Lisu na familia yake wakiwa mstari wa mbele ili kuwaongoza, lkn walipoona Lisu yupo nyumban kwake na familia yake akisubiri kuona ktk tv kinachoendelea na wao pia wakagomea kujitokeza barabarani.
Husna Said wa Chato namkubali sana!Umekuwa msemaji wao siku hizi?
Husna Said wa Chato namkubali sana!
Kwa sasa chadema hainaga source rasmi, nawasiliana direct na makamanda wa Geita!Bila ya taarifa yako kuwa na source, labda kama wewe umekuwa msemaji wao.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwa sasa chadema hainaga source rasmi, nawasiliana direct na makamanda wa Geita!