ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Mwanaume ukisema hivi,kina mama waongee nini sasa?? bora ukae kimyaWaache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.