johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katiba iheshimiwe acha upumba.vu. Hii nchi sio ya mtu mmoja. MAAMUZI YA WALIO WENGI YAHESHIMIWE.Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Ila UWT, jamani, sijui chini ya Mwalm Queen labda imebadilika, wale wanawake ni hatari kwa ustawi wa jamii. 😆 😆Bawacha ni taasisi yenye uelewa mkumbwa huwezi kuilinganisha na ile ya wapaka mikorogo wa UWT.
Wao kazi yao ni Umbea na kusutana tuIla UWT, jamani, sijui chini ya Mwalm Queen labda imebadilika, wale wanawake ni hatari kwa ustawi wa jamii. 😆 😆
Everyday is Saturday................................😎
Haya mawazo ya kijinga na kishamba yatatawala vichwa vyenu mpaka lini?Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Koment ya kipumbavu hii.Waache waende lkn yatakayowakuta wasije kulalamika mitandaoni kuwa wameonewa. Naona wanambeep bimkubwa ila akiwapigia watalalamika. Waliowasukuma na kuwadanganya watakuwa ndan ya majumba yao wakiwaangalia luningani wanavyochezea kichapo. Wakumbuke pia kila mchuma janga hula na wakwao. Nashaur wajifunze yaliomkuta Mdude na wengine waliotelekezwa na uongozi wa juu sabab ya kuendekeza tamaa za matumbo yao.
Yeye anawaongoza Bawacha kutokea Lindi, so atakuwepo!Mmawia atakuwepo?
Najaribu kufikiri, definitely hawataruhusiwa kuingia viwanja vya bunge. Sasa mission Yao itakuwa accomplished vipi? Nawaunga mkono Sana, Ila practicality ya mission yao to yield the expected results or to have the message delivered ni questionable?Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.
Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza vuguvugu hilo.
Kazi Inaendelea!
Aisee.. Ngoja nimshtue imhotep, salary slip, Bak, na bawacha wengineo wawapokee hapo dodoma.Yeye anawaongoza Bawacha kutokea Lindi, so atakuwepo!