Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

Mi nilidhani wanatembea kuandamana kwa miguu
 

Hata kama hawataingia lakini Dunia itakuwa sensitized na pia itakuwa ni booster starter kwa madai ya demokrasia
 
Hii Nchi inatakiwa ifuate Katiba na Sheria BAWACHA tingeni Dodoma tuone huyo Polisi anayefanana na Mzimu atawafanya nini

 
Wangeliwaonea huruma wengi wamemaliza ubunge hawana cha kufanya kuanza na moja nayo changamoto, ukute walikopa wakanunua magari wengine wanasomesha International bora watoto wao wamalize la saba
 
Aisee.. Ngoja nimshtue imhotep, salary slip, Bak, na bawacha wengineo wawapokee hapo dodoma.
Unafikiri utatukweza kutuita sisi Wanawake? Raisi wako kwa sasa ni Bawacha.
 
Naona wazee wa mfumo dume pale chadema wamerudi nyuma na kuwatanguliza bawacha baada ya kushutumiwa kwamba wamejikita kuwaandama wake za watu.......haya ngoje tushuhudie mtifuano wa akina mama.
 
Ajira za Ualimu zimetoka jamani au Bawacha hamkwenda shule ndio maana mmekalia SIASA tu.
 
Ulisikia wapi ukihukumiwa na ukakata rufaa unatolewa kifungoni kabla ya rufaa kusikiliza?
 
CHADEMA mkishindwa sasa hivi kwa huyu mvaa ushungi basis kazi mnayo pindi akiingia yule wa kuwabatizeni kwa ubatizo wa moto
 
Ajira za Ualimu zimetoka jamani au Bawacha hamkwenda shule ndio maana mmekalia SIASA tu.
Bawacha njaa kali sasa hivi madanga yao yote yalipigwa chini kwenye uchaguzi uliopita,!
 
Bawacha watapigwa mpaka wachakae!wanawake wenzangu kaeni kwa kutulia...!haki haipo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…