Basi la Happy Nation lapata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso

Basi la Happy Nation lapata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Updates soon!

Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.

HN.jpg

Screenshot_20220720-165031.jpg
 
Yaani happy nation kwakweli wanaendesha hovyo Sana tar 11 nimepanda happy nation kuja Mwanza aisee nashukuru Mungu nilifika salama lakini dereva yule anaendesha gari vibaya sana anaovertake ovyoovyo anakoswakoswa kugongwa yaani tafrani tupu. abiria walilalamika mpaka wakachoka😄
 
Nilitaka kupita bila kukoment ila ni hivi; "hata mimi nimeshangaa aseee, yaani scania kudondoshwa kirahisi hivyo!!"
Scani haijadondoshwa kaka; katika harakati za kumkwepa huyo mpuuzi wa basi aliyemfuata kwenye site yake; katoa lori nje ya barabara likaishia kudondoka. Kacheza kiume mno kuepusha maafa makubwa.
 
Ajali inayotokana kugongangana uso kwa uso...maana yake hapo kuna mmoja alikuwa anataka ku overtake gari!

Ova
 
Back
Top Bottom