Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
pole hata kwa waliyopata mshtuko.Lakini vipi dereva na abiria wa mbele kwa hali hi wametoka salama,?Updates soon!
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.
View attachment 2297759
View attachment 2297742