Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
pole hata kwa waliyopata mshtuko.Lakini vipi dereva na abiria wa mbele kwa hali hi wametoka salama,?Updates soon!
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.
View attachment 2297759
View attachment 2297742
MkuuNi kama vile Morogoro, Pwani au Tanga naona mikonge kwa mbaliiiiii!!!
To put it clear; kuna mmoja alitoka kwenye site yake; whether overtaking, kukwepa kitu; or such other reasons.Ajali inayotokana kugongangana uso kwa uso...maana yake hapo kuna mmoja alikuwa anataka ku overtake gari!
Ova
Sawa ila kule mwanzo ziliwekwa picha tu bila maelezo na ndipo member mmoja akauliza ni wapi?Mkuu
Umeambiwa Mkambalani Ambayo Ipo Morogoro
Yaani Hapo Ni Jirani Kufika Msamvu Maana Ilikuwa Imebaki
Kingolwira , Cate Hotel, Tungi, Nane Nane, Msamvu
Hawa ndiyo wahitimu wa NITUpdates soon!
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.
View attachment 2297759
View attachment 2297742
itakuwa alijaribu kuokoa maisha yake na katika kulikwepa ndio akapoteza mwelekeo, kukutana uso kwa uso sio ujanja. rejea ile ajali ya morogoro ilivyoondoa watu wengi.Nilitaka kupita bila kukoment ila ni hivi; "hata mimi nimeshangaa aseee, yaani scania kudondoshwa kirahisi hivyo!!"
Mabasi 2 yalikuwa yana overtake magariTo put it clear; kuna mmoja alitoka kwenye site yake; whether overtaking, kukwepa kitu; or such other reasons.
Said mwema IGP mstaafu alisha ondoa share zake huko .mabasi ya kampuni hii yamakosa uelekeoUpdates soon!
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.
View attachment 2297759
View attachment 2297742
Madereva wengi ni wehu.Yaani happy nation kwakweli wanaendesha hovyo Sana tar 11 nimepanda happy nation kuja Mwanza aisee nashukuru Mungu nilifika salama lakini dereva yule anaendesha gari vibaya sana anaovertake ovyoovyo anakoswakoswa kugongwa yaani tafrani tupu. abiria walilalamika mpaka wakachoka[emoji1]
Sasa unanigombeza ili iweje?.Scani haijadondoshwa kaka; katika harakati za kumkwepa huyo mpuuzi wa basi aliyemfuata kwenye site yake; katoa lori nje ya barabara likaishia kudondoka. Kacheza kiume mno kuepusha maafa makubwa.
... uko sahihi; kuna roho nyingi zingepotea pale kama sio dreva wa lori kutenda jambo sahihi kwa wakati sahihi. Anastahili pongezi nyingi sana na kazawadi fulani. Ikiwezekana mabao yote ya trafiki kwa wiki hii kati ya Chalinze na Morogoro azawadiwe huyo dereva.TanPol kitengo cha Usalama Barabarani inabidi waanzishe tuzo kwa madereva kama huyo wa hilo lori.
Kama kuna adhabu kwa watendao makosa,basi kuwe na pongezi kwa waepushao ajali.