Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

Bara bara kutoka Kapiri Mposhi mpaka Isoka ni nyembamba sana aisee na hilo eneo la Serenje ni eneo hatari sana kwa ajali...hawa jamaa wakitaka kufanya safari zao wapite Malawi sio Zambia huko bara bara yao nyembamba harafu wazee wa Truck wanajisahau sana..
 
leo tu hiyo serenje hyo ajali inasadikika ya 4.
 
Hii ajali ya muda chief.
ya mwanzo hii hapa hakuna kifo.
Screenshot_20231226-212057~2.png
 
Poleni Sana Ndugu Jamaa Na Marafiki
CChumaHii Mwezi Huu Imepata Ajali Mara Mbili
 
Dah hatari Sana hii Mungu awajalie majeruhi pona ya haraka.
 
leo tu hiyo serenje hyo ajali inasadikika ya 4.
Watu wengi sasa hivi wanakifika Lusaka wanaitafuta Malawi ukifika Mzuzu unakua ushafika karibu na Songwe huko Serenje maroli mengi mno harafu wanaendesha katikati ya bara bara imeumiza sana hii ajali aisee watu wengi walikua wanarudi home..
 
Back
Top Bottom