Watqkwambia hakuwa na chakufanya walikuwa wanasubiria zima moto wajeMlipoona moshi mkubwa mmesaidia nini?
Asante Mungu umewaponya watu wako.
Nilitoka mkoani siku moja nikapanda mwendokasi, kwa jinsi tulivyokuwa tumebanana akili yangu ikawa inawaza, ikitokea gari limewaka itakuwaje kutoka mule mana kuna muda watu walikuwa wanapiga kelele kwamba kuna moto kumbe haukuwa moto, yale magari si yana injini nyuma vile! Njia nzima nilikuwa nina mawazo. Poleni sana watu wa Dar, muje muandamane mpiganie maisha bora ya usafiri!Wakuu,
Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.
Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?
Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Usalama, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.
Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.
Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.
View attachment 3313829
iko siku yataua watu wengi sana ,serikali itagharamia misiba ya watu hao watu na sote kwa pamoja tutasema KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA!!!Wakuu,
Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.
Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?
Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Usalama, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.
Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.
Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.
View attachment 3313829
Yamechoshwa na service mbovu wala sio kingine.Hayo magari yame choka sana
Ni kutojipangaYamechoshwa na service mbovu wala sio kingine.
Watu Wana bills za kulipaHayo magari yame choka sana
Hiyo ni ishara kuwa yanayakiwa yasitoe huduma tena, yauzwe kama scraper!Wakuu,
Kuna basi moja la mwendokasi limenusurika kuwaka moto asubuhi hii. Stori inaanzia Mitaa ya Shekilango ambapo limetupita, mimi na rafiki yangu tukiwa kwenye bolt. Kwa moshi uliokuwa unatoka haikuwezekana hata kusoma number plate yake, ulikuwa mzito sana kiasi cha kuziba barabara yote.
Nawaza, dereva alikuwa haoni moshi huu kupitia side mirror? Maana hakusimama, aliendelea kwenda tu. Vipi lingewaka huku abiria wote wakiwemo?
Tulipokaribia maeneo ya kituo cha Mwembechai, tulishangaa kusikia kelele na watu wakiruka kutoka kwenye moshi mzito, kumbe ilikuwa ni ile mwendokasi watu wanaruka kutoka madirishani.
Ilibidi barabara ifungwe kwa muda maana watu walikuwa busy kujiokoa. Nasikitika sikuweza kurekodi video nzuri sababu ya upande niliokuwa nimekaa kwenye gari lakini nilichokiona asubuhi hii kinanipa wasiwasi sana kuhusu mustakabali wa usafiri huu wa umma unaopigiwa kelele kila siku bila mabadiliko yoyote.
Nasikia devera akisaidiana na wapita njia walizima ule moto kwa fire extinguishers.
View attachment 3313829
Fire extinguishers ni muhumu sana hata katika nyumba tunazoishi.Wakuu,