Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.

Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo. Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SHTCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.

View attachment 1537723
Chuma hiko,nakukubali sana don,nina Dada vipi nikuunganishie ili uwe na undugu na Mimi?
 
Back
Top Bottom