Jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wapo salama na majeruhi kiasi....Ni kheri kuchelewa lakini mfike salama kuliko hizi league za kijinga.
Kuna siku nilipanda Frester kutoka Bukoba- Dar tumeingia Dom abiria wa kushuka wameshuka, dereva akaliondosha kwa speed kubwa, ilikuwa kidogo basi lile mweleka mtaroni baada ya gari binafsi likitokea mbele yetu kupita na mtembea kwa miguu (alikuwa akivuka barabara), chanzo akiwa bodaboda, aisee katika zile hekaheka mpaka bus linafunga brake tumbo lilishavuruga na kusali sala kibao... Tangu siku hiyo huwa sihitaji kupanda mabasi yenye heka heka.
Dada wa watu siku zake zikaishia pale[emoji22].