Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Mbona NBS hatekwi?,I remember 2013,wakata Naenda Tabora yani hiyo Barabara ya Itigi ni Full Mapori yani tulipita salama mpaka Tabora Mjini but inatisha mana iwe mchana ucku pako vibaya bora ya Nzega ile lol
 
Kuna taarifa kuwa Basi laTabora One lifanyalo safari zake kati ya Dar na Tabora limetekwa Jana usiku na abiria wote kunyang'anywa mali zao na kuna taarifa kuwa huenda wanawake wamefanyiwa vitendo vya ubakaji.
Mkuu pamoja na kuwa ni tetesi lkn sidhani kama kutakuwa na ukweli maana hadi sasa tv station zote hakuna iliyo tangaza hiyo habari
 
Mkuu smart phone walikomba zote, unadhani wataanzia wapi kupost.
Kamanda jogi siku hizi vijijini watu wanazo za mchina,wangeshazifikisha kwenye vyombo vya habari hasa radio na tv station
 
Mbaya sana kama ujambazi huo umerejea.Duu Tabora One anapigwa vita sana njia hiyo ya tabora na mmiliki mkongwe wa njia hiyo,pia mmiliki wa tabora one alifariki miezi michache iliyopita basi ni balaa tupu.Waliobaki wasikate tamaa
Mkuu tatizo hiyo njia ni ya kipweke sana,afadhali wangekubali kupitia ile ya kupitia nzega maana ina magari mengi sana na haina mapori makubwa
 
Kamanda jogi siku hizi vijijini watu wanazo za mchina,wangeshazifikisha kwenye vyombo vya habari hasa radio na tv station
ilo poli toka itigi mpka kigwa hakuna mtandao wowote unaopatikana na mnatembea kma masaa 3 au 4 hamuoni kitu zaidi ya miti tu but kwa sasa kuna vipande vina rami
 
Mbona NBS hatekwi?,I remember 2013,wakata Naenda Tabora yani hiyo Barabara ya Itigi ni Full Mapori yani tulipita salama mpaka Tabora Mjini but inatisha mana iwe mchana ucku pako vibaya bora ya Nzega ile lol
Kaka nzega unazunguka sana but iyo njia ya itigi ndio shortcut na unawahi sana kufika tabora
 
Mbaya sana kama ujambazi huo umerejea.Duu Tabora One anapigwa vita sana njia hiyo ya tabora na mmiliki mkongwe wa njia hiyo,pia mmiliki wa tabora one alifariki miezi michache iliyopita basi ni balaa tupu.Waliobaki wasikate tamaa
Kwa hiyo kaundiwa Zengwe la wazee wa kazi?
 
Back
Top Bottom