Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Mbona NBS hatekwi?,I remember 2013,wakata Naenda Tabora yani hiyo Barabara ya Itigi ni Full Mapori yani tulipita salama mpaka Tabora Mjini but inatisha mana iwe mchana ucku pako vibaya bora ya Nzega ile lol
Mkuu nzega tabora sasa ni lami tu hivyo wangekuwa wanazunguka tu
 
Naombeni msaada nasikia CHASO wako nje ya nyumba yangu wanafanya kikao.
 
ilo poli toka itigi mpka kigwa hakuna mtandao wowote unaopatikana na mnatembea kma masaa 3 au 4 hamuoni kitu zaidi ya miti tu but kwa sasa kuna vipande vina rami
Ni kweli lkn kwanini kuepuka huo upweke wasipitie ya nzega?
 
Hivi hiyo njia washaitengeneza. Sitasahau nilipokuwa nakwenda kuripoti form five Tabora school nimepanda basi linaitwa NBS .tuliingia tabora saa 8 usiku.
 
Mkuu pamoja na kuwa ni tetesi lkn sidhani kama kutakuwa na ukweli maana hadi sasa tv station zote hakuna iliyo tangaza hiyo habari
Watu waliporwa cm isipokuwa mama mmoja ambaye cm aliiweka kwenye Maziwa. Walipofika Tabora ndiyo wakatoa taarifa ndugu na jamaa. Inasemekana gari lilipata hitilafu Manyoni, baada ya kutengeneza likatengamaa , dereva aliamua kuendelea na safari, ndipo walikutwa na zahama hiyo
 
Huyo dereva alitumia sana mazoea, hiyo njia haifai mkuu
 
Back
Top Bottom