Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Polisi wote wako Dodoma wanapigwa kwata za kuwavizia Bavicha 2,000 watakaoenda kuuzuia mkutano wa CCM. Mhe Rais peleka huko Tabora jenerali badala ya Mwanri.
 
Mkuu kutoka Itigi mpaka Tabora ni kilomita mia mbili na kitu na hapo katikati hakuna kituo hata kama watatoa taarifa watafika saa ngapi
Alafu sasa lami ni vipande vipande
 
Kuna taarifa kuwa Basi laTabora One lifanyalo safari zake kati ya Dar na Tabora limetekwa Jana usiku na abiria wote kunyang'anywa mali zao na kuna taarifa kuwa huenda wanawake wamefanyiwa vitendo vya ubakaji.
HAPA KAZI TU
 
igunga ni rami tupu maana ndio njia pia yanapita mabasi yanayoenda kanda ya ziwa , ukitoka igunga unaenda nzega then tabora mjini!!
Hujaelewa mkuu,ukifika igunga pale kuna njia inaingia kushoto kwenda tabora kabla ya kwenda nzega na barabara kuu
 
Kama hiyo ni kweli mkuu basi tutangaze rasmi kwamba hatuna jeshi la polisi. Yani wanalipwa na kodi zetu..wananunuliwa vifaa...halafu badala ya kwenda kudhibiti haya majambazi badala yake wanafukuzana na vyama vya siasa? This is wrong. Inasikitisha sana nchi huru halafu eti tuwe na barabara ambazo ukipitia "unajitakia majanga"...tuzuiwe uhuru wa kusafiri usiku...tulazimishwe kulipia escort za polisi tukisafiri maeneo flani. Very unfortunate!
Asante mkuu lakini kumbe hii ni polisi ya Tanzania
Polisi ya Tanzania haijawahi kuwa na sirias na mambo ya usalama Bali inajishughulisha na siasa

Sasa utawaamin?
 
Wataalamu wa IT toka Rwanda kuja kuivua tz gagulo, Usalama wa wadanganyika upo mikononi mwa tuts tz ni shamba la bibi
 
Back
Top Bottom