Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

nieleweshe ticha
Kuna mambo ya msingi ambayo ulitakiwa uyajue kabla haujajiunga JF. Hauwezi ukaingia kidato cha tano ukaanza kuwasumbua walimu wakufundishe kusoma na kuandika. Kwa lugha nyepesi, wewe sio wa level hii na tukisubiri uifikie utatuchelewesha
 
Kuna mambo ya msingi ambayo ulitakiwa uyajue kabla haujajiunga JF. Hauwezi ukaingia kidato cha tano ukaanza kuwasumbua walimu wakufundishe kusoma na kuandika. Kwa lugha nyepesi, wewe sio wa level hii maana utatuchelewesha
kwani una safari ya haraka unaenda wapi ticha hutaki kufundisha wajinga?
kwani kuna level ngapi? mbona Mods hawajatutajia wote mnajua nyie tu?
 
Sina haraka ila ni mgawanyo tu wa majukumu. Level hii ni ya applications, sio ya kujenga msingi. Yapo majukwaa mengine that will suit your basic demands
what are my basic demands? nimefurahi umenishtua kuwa hata mimi kumbe nina basic demands sikuwa najua ninazo! ila ni hivi nimesahau ni lini nilikutajia my demands nikumbushe tafadhali

kumbe kuna pepa member wa JF wanapewa ukifaulu unangia jukwaa hili mbona mi Mods hawakunipa hiyo pepa?
 
Manara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!

TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.

Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
Simba imewahi kusugua miaka 5 bila ubingwa Manara akiwepo. Manara hakukosea kusema Yanga hawana akili isipokuwa JK na baba yake
 
nimeelewa aisee maana ya akili
1.kushabikia Makolo FC inayoongozwa na demu, isiyo na uwezo uwanjani, isiyo na pesa za usajili wa kiwango, isiyo na kombe hata moja kabati limejaa vumbi
2.Kumponda Manara hata kama kaonewa kwa vile tu kahama simba imedorora na inaboa!
3.Kumsifia Kolo Karia ambae hafai TFF inafungwa tu na ina madeni na bus linaenda Filbert Bay I!
4. Kukaa kimya na kumeza mawazo ya wanasimba ambao ni mataahira wana hasira za timu yao mbovu
5.
6.
"Yanga wenye akili ni wawili tu, JK na baba yangu" HAJI SUNDAY MANARA
 
Simba imewahi kusugua miaka 5 bila ubingwa Manara akiwepo. Manara hakukosea kusema Yanga hawana akili isipokuwa JK na baba yake
Ok enough! now i want Makolo fc mikia wote mkae kimya na kuacha kuongea ujinga!

Wewe una akili ndogo kama Makolo FC wenzako ambao ni wavivu au labda hawana uwezo wa kufikiri! au labda unaweza kukuta wana vichwa tu maboksi ndani ubongo hamna!!

Tumia akili sasa kwahiyo Manara akisema chochote unakubali? Manara akisema wazazi ulio nao sio wako na watoto wako wawili mkeo kazaa na jirani yako si wako umebambikiwa nazo utabeba na kuamini na kushare comment JF na Facebook sababu Manara kasema? Kwahiyo we unabeba tu kila kitu anachosema mtu mwingine? amka na uamshe na Makolo wengine !

unajua maana ya motive? yaani hutakiwi kubeba tu maneno ya mtu bali chambua mtu kasema nini? kawaambia kina nani? lengo Lake nini? kayasemea wapi? kayasema lini?
 
Manara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!

TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.

Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
Kejeli gani hii unatuletea mkuu
 
Hapo ndo mnapokosea, sehemu kubwa ya soka la Tz ashikuriwe Simba kimataifa, ashukuriwe MO kwa mabadiliko, ishukuriwe Azam...

Huyo zeruzeru Simba ndo imemfikisha hapo alipo
MO ni nani? kafanya nini?
 
Manara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!

TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.

Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
Tuombe Mungu Tukose yote ila kujitambua tukupate.
 
Mawazo hafifu ya mwana UTO
 
Back
Top Bottom