Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

nakuona uko gizani nyuma ya keyboard kuna kipimo unacho unatumia kujua mawazo hafifu na angavu je unaweza kunirushia kwa whatsapp?
Mawazo angavu hapo umehifadhi Mangapi?
Hafifu ni nini?
Cjui n ma nini haya umeandika mkuu
 
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR liuzwe ili kulipa deni hilo.

Taasisi hiyo inaidai TFF fedha hizo kwa miaka mitatu ambazo kwa mujibu wa Tarimo zilikuwa ni gharama ya kambi kwa timu za vijana chini ya miaka 13, 15, 17 na ile ya wanawake katika taasisi hiyo Kibaha mkoani Pwani.

Alisema Juni 3, 2019 taasisi hiyo iliingia makubalino na TFF ya miaka mitatu kutoa huduma za viwanja, usafiri, kambi na chakula wenye thamani ya Sh521.4 milioni ambazo walikubaliana zilipwe kwa awamu na kusalia Sh76.4 milioni ambazo Julai 20, mwaka jana rais wa TFF, Wallace Karia alikiri katika mahojiano na gazeti hili na kusema suala hilo lilikuwa linashughulikiwa.

View attachment 2304159
HII NI AIBU KUBWA KWA TFF
 
Tafsiri na hii "mashabiki wa Yanga kwenye nguo zao za ndani zimejaa kinyesi" tiririka na hii mwana-uto.... hahahaa mmekumbatia mzinga wa nyuki badala ya kushambulia na kuwaza mawazo mbadala kuhusu timu yenu mnamdefence Bugati.
Kwahiyo umefurahi na umekubali maneno hayo ya Bugatti kuhusu kinyesi?

Kama jibu ni Yes ina maana kila atakachosema Bugatti utapokea? Jibu ni Yes nakujibia kibabe

Haya twende Afisa Tabibu akili yako haijai kijiko kwahiyo Manara akisema "wale watu wewe Afisa Tabibu unaosema ni wazazi wako kumbe sio wewe uliokotwa tu jalalani" wakakulea nayo hiyo pia utapokea na kuja kushare humu JF na Facebook?

Je napo hapa vipi Manara akisema mke wako na mke wa mdogo wako walichepuka wakazaa na kaka yako hivyo wanao na watoto wa mdogo wako ni wa nje ya ndoa na si wa kwako?je utalibeba na kulikubali na kuja kushare JF?

Makolo atakaeweza kujibu haya anyooshe kidole!

Kama kila anachosema Manara mnabeba vipi hoja mbili hapo juu mtabeba?

In short Manara na wewe na Nyerere na Nandy wote ni binadamu na wanaropoka wanayojisikia na haimaanishi wanayoropoka ni ya kweli
 
Shamba la bwana kheri mali ya bwana kheri
 
Back
Top Bottom