Jengo la Yanga kupigwa mnada Agosti 19
ContributorAugust 17, 2017 - 2:02 pm
Less than a minute
Facebook Twitter Share via Email
Mahakama yaamuru Jengo la klabu ya Yanga lililopo maeneo ya Jangwani kuuzwa kwa mnada Agosti 19 baada ya kudaiwa kodi ya ardhi ya zaidi ya shilingi milioni 300.
Hata hivyo uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kushtushwa na hatua ya serikali kutaka kulipiga mnada jengo hilo ambalo ni makao ya klabu na kuahidi kufanya kila linalowezekana kunusuru hali hiyo
====================
Hata Yanga bado wana mmadeni yakutosha msijisahaulishe