Kuna mambo ya msingi ambayo ulitakiwa uyajue kabla haujajiunga JF. Hauwezi ukaingia kidato cha tano ukaanza kuwasumbua walimu wakufundishe kusoma na kuandika. Kwa lugha nyepesi, wewe sio wa level hii na tukisubiri uifikie utatucheleweshanieleweshe ticha
kwani una safari ya haraka unaenda wapi ticha hutaki kufundisha wajinga?Kuna mambo ya msingi ambayo ulitakiwa uyajue kabla haujajiunga JF. Hauwezi ukaingia kidato cha tano ukaanza kuwasumbua walimu wakufundishe kusoma na kuandika. Kwa lugha nyepesi, wewe sio wa level hii maana utatuchelewesha
Sina haraka ila ni mgawanyo tu wa majukumu. Level hii ni ya applications, sio ya kujenga msingi. Yapo majukwaa mengine that will suit your basic demandskwani una safari ya haraka unaenda wapi ticha hutaki kufundisha wajinga?
what are my basic demands? nimefurahi umenishtua kuwa hata mimi kumbe nina basic demands sikuwa najua ninazo! ila ni hivi nimesahau ni lini nilikutajia my demands nikumbushe tafadhaliSina haraka ila ni mgawanyo tu wa majukumu. Level hii ni ya applications, sio ya kujenga msingi. Yapo majukwaa mengine that will suit your basic demands
Simba imewahi kusugua miaka 5 bila ubingwa Manara akiwepo. Manara hakukosea kusema Yanga hawana akili isipokuwa JK na baba yakeManara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!
TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.
Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
"Yanga wenye akili ni wawili tu, JK na baba yangu" HAJI SUNDAY MANARAnimeelewa aisee maana ya akili
1.kushabikia Makolo FC inayoongozwa na demu, isiyo na uwezo uwanjani, isiyo na pesa za usajili wa kiwango, isiyo na kombe hata moja kabati limejaa vumbi
2.Kumponda Manara hata kama kaonewa kwa vile tu kahama simba imedorora na inaboa!
3.Kumsifia Kolo Karia ambae hafai TFF inafungwa tu na ina madeni na bus linaenda Filbert Bay I!
4. Kukaa kimya na kumeza mawazo ya wanasimba ambao ni mataahira wana hasira za timu yao mbovu
5.
6.
"Yanga wenye akili ni wawili tu, JK na baba yangu" HAJI SUNDAY MANARANdo ujue kuwa Manara ni jitu kubwaaaaaaaa. Hata Karia analiogopa ndo maana anatumia madaraka kujimwambafy
Ok enough! now i want Makolo fc mikia wote mkae kimya na kuacha kuongea ujinga!Simba imewahi kusugua miaka 5 bila ubingwa Manara akiwepo. Manara hakukosea kusema Yanga hawana akili isipokuwa JK na baba yake
Umeshasahau mara hii? Hii hapa chini:what are my basic demands? nimesahau lini nilikutajia my demands nikumbushe tafadhali
nifundishe maana ya elimu
kusahau niniUmeshasahau mara hii? Hii hapa chini:
Kejeli gani hii unatuletea mkuuManara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!
TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.
Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
Kejeli gani hii unatuletea mkuu
kusoma elimu ya msingikusahau nini
elimu ya msingi ni ninikusoma elimu ya msingi
Anatumia rangi ya ngozi yake, kupenda huruma ya jamiiNdo ujue kuwa Manara ni jitu kubwaaaaaaaa. Hata Karia analiogopa ndo maana anatumia madaraka kujimwambafy
MO ni nani? kafanya nini?Hapo ndo mnapokosea, sehemu kubwa ya soka la Tz ashikuriwe Simba kimataifa, ashukuriwe MO kwa mabadiliko, ishukuriwe Azam...
Huyo zeruzeru Simba ndo imemfikisha hapo alipo
na lile tambi atamnunua nani.Wangemkamata ndugu Karia nayeye apigwe mnada. Nasema uongo ndugu zangu?
Tuombe Mungu Tukose yote ila kujitambua tukupate.Manara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!
TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.
Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
Mawazo hafifu ya mwana UTOManara ni special guy amechangamsha mno ligi ya Tanzania bara huu ni ukweli mchungu sasa ukimgusa tu na kumuonea na kumkomoa tayri ushajiharibia ni mikosi tu inaanza kukuandama kama Karia kaingia cha kike sasa ataisoma namba mpaka akome huu ni mwanzo tu wa anguko lake , sijui huyu Bugatti ana kitu gani Mungu anajua, jamaa akihama timu inakufa kama Simba wamedorora na wanaboa kinoma kwa kubaki na furushi la hasira na matusi tu na Simba inaweza kufa kabisa wakizembea!
TFF timu ya Taifa Stars ina kocha mzee kaishiwa mbinu bado wanae tu tunapigwa home na Algeria hata kusikia wamemkaripia kocha hamna weka Mgunda wewe Karia.
Basi liuzwe Karia na wenzake watoke Makolo wale hawana akili ya mpira ni promo tu wanajua!
ni elimu uliyoikosaelimu ya msingi ni nini