EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hii inaonesha kichwa unafugia nywele na meno, Huyo dem kaanza kuongoza leo, Kamsimu kamoja mnapiga kelele kama mmeshinda kombe la dunia 🤣 🤣1.kushabikia Makolo FC inayoongozwa na demu, isiyo na uwezo uwanjani, isiyo na pesa za usajili wa kiwango, isiyo na kombe hata moja kabati limejaa vumbi
kujitambua ni nini? unajuaje kama umejitambua?Tuombe Mungu Tukose yote ila kujitambua tukupate.
Makolo FC mmeanza kufikiri 😊Hii inaonesha kichwa unafugia nywele na meno, Huyo dem kaanza kuongoza leo, Kamsimu kamoja mnapiga kelele kama mmeshinda kombe la dunia 🤣 🤣
Heri makolo FC wanaofikiri kuliko vinyesi FC wasiofikiriMakolo FC mmeanza kufikiri 😊
shida kubwa ya Mikia FC ni kukurupuka kucomment bila kujua maana ya kilichoandikwa , nilimwambia mmeanza kufikiri maana ametambua kuwa simba haina kombe lolote ifanye harakati badala ya kukazana kusimamisha mishipa ya shingo kutangaza kauli ya Manara kuwa wenye akili wawili tu Baba yake na JK,Heri makolo FC wanaofikiri kuliko vinyesi FC wasiofikiri
🐸🐸fcHeri makolo FC wanaofikiri kuliko vinyesi FC wasiofikiri
... kama ile habari ya Karia kuwaita utopolo mna vinyesi kwenye chupi, haiwapendezi Makolo kabisa!... habari za Yanga hazipendezi Makolo FC tunajua hamna hoja!
mnajitahidi kubalance ila Karai hafai, one question TFF walikuwa wapi mpaka deni limefika kubwa hivyo? hivi CAG huwa haendi TFF? je hawaingizi pesa? kama zinaingia kwanini hawakulipa kwa wakati?Jengo la Yanga kupigwa mnada Agosti 19
ContributorAugust 17, 2017 - 2:02 pm
Less than a minute
Facebook Twitter Share via Email
Mahakama yaamuru Jengo la klabu ya Yanga lililopo maeneo ya Jangwani kuuzwa kwa mnada Agosti 19 baada ya kudaiwa kodi ya ardhi ya zaidi ya shilingi milioni 300.
Hata hivyo uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kushtushwa na hatua ya serikali kutaka kulipiga mnada jengo hilo ambalo ni makao ya klabu na kuahidi kufanya kila linalowezekana kunusuru hali hiyo
====================
Hata Yanga bado wana mmadeni yakutosha msijisahaulishe
Hayo maswali mpelekee mbunge wako akaulize bungeni. Bahati nzuri Waziri wa Michezo alikuwa upande wa Karia juzi juzi hapa wakati wa ugawaji wa tuzo, kwamba lazima watu wawaheshimu viongozi...hivi CAG huwa haendi TFF? je hawaingizi pesa? kama zinaingia kwanini hawakulipa kwa wakati?
Linganisha na la Yanga 54M vs 300+M Yanga ilikuwa wapi?mnajitahidi kubalance ila Karai hafai, one question TFF walikuwa wapi mpaka deni limefika kubwa hivyo? hivi CAG huwa haendi TFF? je hawaingizi pesa? kama zinaingia kwanini hawakulipa kwa wakati?
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyo kama Manara asingeguswa, deni lingesamehewa? Wakati mwingine huwa natamani kuwepo masharti ya viwango vya elimu kwa anayetaka kujiunga JF
niliikosa lini? mbona wakati wanaipitisha hukunishtua? leo ndo nimejua we jamaa mbinafsi sana!! wamegawa elimu ya msingi nyie mkapata na hamkutushtua!ni elimu uliyoikosa
Yanga tamu!Very soon Karia atapandishwa kizimbani kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhilifu.
Hii ofisi ina shida gani??
nakuona uko gizani nyuma ya keyboard kuna kipimo unacho unatumia kujua mawazo hafifu na angavu je unaweza kunirushia kwa whatsapp?Mawazo hafifu ya mwana UTO
🤣🤣🤣🤣🤣Wangemkamata ndugu Karia nayeye apigwe mnada. Nasema uongo ndugu zangu?
Hapa hakuna fitna bali matumizi mabaya ya ofisi.Yanga tamu!
Hivi Mr Karai ni mgeni bongo? hajui fitna za mpira wetu?
Wamburuze kortini chap ili asijishughulishe na boli tubadili kocha wa Taifa Stars